Huyu mwanafunzi ana Division gani?

Huyu mwanafunzi ana Division gani?

Rogers toni

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
6
Reaction score
1
NDUGU wanajamvi msaada
Juu ya hili mwanafunzi aliyehitimu kidato cha 4 mwaka 2013 nakupata hist,E geoE, civD, kiswB, engE, literD, biosD, bam na ku reseat 2017 kwa ku Pata civil D, his D geo D kid D English C na lit D je takuwa na div ngapi?

Matusi hayajengi wala kashfa!
 
Daraja linakazi gani wewe beba credit zako songa mbele hayo madaraja urembo tu ,
 
Mkuu hamnaga daraja Kwa mtu wa hivo , najua unataman uwe Na three or two or one..... lakin ipo hiv Kama umerisiti ili upate daraja basi Fanya kuanzia masomo saba Na kuendelea.....!!!Ila Kwa hapo rudi class ongeza c nyingine uende advance huko ndiko ukatengene daraja zuri kwenda chuo!!!!!!
 
hua tunachukua masomo saba ila mathematics na civics ni lazima uyaweke kwa hyo utachukua D=5 na C =2(5×4+3×2) jibu utapata 26 hvyo ana division 4 ya 26
 
Ila kama ukiamua ku reseat somo ulilofaulu(credit) na ku Pata pass nini hufanyika?
 
Tafuta credit ya Geo ukasome HGK A-level kwa shule za privet lkn ukiona kuchelewa zama kenye certificate mambo ya daraja gani litakuwa la mkapa aisee
 
Back
Top Bottom