Huyu mwanadada aliiona fursa

Huyu mwanadada aliiona fursa

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
4,990
Reaction score
4,271
Hapa naona kuanzia huyu dada wa kwanza kulia pamoja na mpiga picha wetu wote waliiona fursa...


fursa.jpg
 
Hakuna cha fursa wala baba yake fursa, hizo zote ni mbinu mbovu za ccm wakiwatumia wauza madawa ya kulevya kutaka kuwadanganya vijana kuwa wanaweza kujiajiri wakati hawawapi mitaji inayoeleweka!! Huku kote ni kuweweseka kwani d-day hapo 2015 imekaribia ikitanguliwa na local govt. elections!
 
angalieni picha vizuri basi mpaka mfundishwe,hiyo nguo alio vaa dada yetu naeneo alipo kaa nimbele kabisa karibu na meza kuu,
 
Hebu wataalam waikubwishe khaaaaa.... mie hata sione vyema!
 
kweli anatafuta fursa huyo yaani inaelekea hapo kuna wawekezaji anawavutia au mtoa mada unasemaje?
 
Sorry! Sioni chochote cha ajabu hapo. Kava skirt nzuri tu yupo smart...sasa fursa gani au nini unaongelea. Tueleweshe mkuu
 
Back
Top Bottom