Huyu Mwalimu tumuweke kundi gani

Huyu Mwalimu tumuweke kundi gani

Da ka nishamjua huyo jamaa da ni hatari sana huyo jamaa sidhan kama udsm itakuja pata waziri wa mkopo kama huyo dah!jamaa anaconfidence balaa
 
Si kila anayesomea ualimu amelazimika kufanya hivyo baada ya kukosa namna. Wapo watu wachache husomea ualimu kwa moyo mkunjufu na kama first option yao...ila samahani kama wengine watachukia...watu wengi wanaosomea ualimu huwa ni baada ya matawi yote kuteleza na hapa ndo tunapata walimu weupeee ambao twataka wawafaulishe vijana wetu hali ya kuwa wao wenyewe hawana uwezo kihivyo...Mbona vyuo vikuu wahadhiri huwa wanakuwa ni wale wenye ufaulu wa juu zaidi? Hata kama utajidai kupiga phd ila ukiwa na GPA mbovu ktk bachela yako au master utaishia kuusikia uhadhiri kwenye bomba labda uende ktk vyuo vya mtaani.
 
Ni kwel kabisa ulichoongea mkuu
 
Mtoa mada si vizuri kuniandika humu, ualimu nimeupenda mwenyewe hata kama nilichana paper vile na kuwa kiongozi maarufu pale UDSM, bado nalitumikia taifa naamini huku natoa mchango mkubwa zaidi ambao matunda yake yataishi daima. Kuliko ningekuwa mwanasiasa ningelazimika kuwahadaa na kujidhalilisha kama maprofesa wetu waliojitosa siasani.
 
Okay unajuaje kama anakuongelea wewe ? kwa nia njema tu na kama kweli hizo sifa ni zako , wewe unaitwa nani na uko wapi kwa sasa ?
 
ualim n taaluma yenye thaman kubwa sana ktk jamii yoyote ile, tatzo selkar na jamii kwa ujumla hawajaipa thaman yake kada hii yenye thaman kubwa. tatzo linaanzia hapo had baadh ya walim wenyewe nao wanajshusha thaman kwa matendo yao. jamii na selkar heb ipen thaman yake kada hii yeny mchango mkubwa ktk kuleta maendeleo
 
Back
Top Bottom