huyu mume amekuwa msalaba kwangu

kweli wanaume hawana shukrani .binti kaamua kulitunza lizee hili akaacha kula ujana wake lizee lenyewe halitulii...loh!

kama mwanamke hanyanyaswi na anatunzwa vizuri
sasa ya nini kujipa presha?
si na yeye atafute kidumu pembeni yaishe?
wajenge familia kwa kuigiza like the rest??????
 
kweli wanaume hawana shukrani .binti kaamua kulitunza lizee hili akaacha kula ujana wake lizee lenyewe halitulii...loh!
Utakulaje maharage kila siku bana? Unabadili leo kisamvu kesho bilinganya kesho kutwa matembele
 
kweli wanaume hawana shukrani .binti kaamua kulitunza lizee hili akaacha kula ujana wake lizee lenyewe halitulii...loh!
Mapenzi hayachagui mdogo wangu hujui alimpendea nini mzee wa watu.
 
pole shosti kwa kuangukia kwa hlo gube gube, sema na ww uliwah sana mwenzangu ila hongera, sasa kizur ni kwamba hujachelewa, ndio kwanza una miaka 24 bado mdogo mno, fanya maamuz kabla hajakushonea sanda huyo my husby wako. Ni kweli baadh ya wanaume wanajishaua sana wakishapata vijisent. Ila mwisho wa siku fuata moyo wako mpendwa,,,,, all the best kwa maamuz utakayoyafanya,,,,,,,,,,,,,,
 
Nimeipenda hii,
ila vp kuhusu kale mtandao ka ngono...
kama mwanamke hanyanyaswi na anatunzwa vizuri
sasa ya nini kujipa presha?
si na yeye atafute kidumu pembeni yaishe?
wajenge familia kwa kuigiza like the rest??????
 
Hakuna dawa rahisi kwa mzinzi huyo kama kumpuuzia na kuendelea na maisha yako! We jifanye km haujui ayafanyayo, kuwa busy na mambo yako, tena shughulikia zaidi kutafuta pesa na kujiweka smart km mrembo usiye na tatizo lolote, muwekee masharti ktk unyumba (hakuna mambo bila sox), utamuona anavyojirudisha mwnyw!
 
kama mwanamke hanyanyaswi na anatunzwa vizuri
sasa ya nini kujipa presha?
si na yeye atafute kidumu pembeni yaishe?
wajenge familia kwa kuigiza like the rest??????
hapo umenena mkuu? ..ajilie tunda pembeni..alee familia na maisha yaendelee...mfupa uliomshinda fisi binadamu atauwezea wapi??????????/
 
hilo lizee limeshajichokea linataka kukuuma bado mtoto mbichi khaa,,uckae kimya ma dia talk 2 ur parents kuhusu situation yote they wil understand but ukitaka kuondoka ucwaache wanao.
 
we pia umeingilia ndoa ya mtu tena ukiwa mtoto mdogo, na dalili hizo zinaonesha kuwa mumeo ni balaa kwa wanawake
kama unaweza vumilia au anza maisha yako mapema maana we bado ni kijana mbichi na uyo mumeo anakukomaza
 
tatzo mara nyingi huko kwa kuiba huwa kunanoga zaid.....
hahahaaa,,,ngoja nim-pm mtoa uzi ili akupm umsaidie zaid...
umeipenda?
hebu ni pm labda naweza kukusaidia zaidi
mtandao hauepukiki
dawa ni condom na kupima tu
we waonaje?
 
Duuuu umuhimu ulimkuta kwa mtu na mwenye nae ameamua kuondoka ....Mfupa uliomshinda fisi ni mgumu kuutafuna.....Umalaya wake hatari ni kukuletea magonjwa....Kaa nae mshauriane ili ajue uzee wake utaitesa familia yake baadae.
Hata wewe unaonekana hujatulia kwa umri wako unamika 24 na ndoa ya miaka sita.....

Uliamua kumsaidia mzee huyo na wewe ukiwa mtoto sasa liwalo na liwe tu.
 
kama mwanamke hanyanyaswi na anatunzwa vizuri
sasa ya nini kujipa presha?
si na yeye atafute kidumu pembeni yaishe?
wajenge familia kwa kuigiza like the rest??????
The Boss hivi kumbe wanawake hua wanang'ang'ania ndoa zao ili wapate matunzo na sio kwa sababu ya mapenzi??na hayo maigizo mwisho wake sio virusi??kazi ipo!:flypig:
 
Last edited by a moderator:
pole sana bibie. mbona webado mdogo sana. unakata tamaa bure ndugu yangu. achana nahuyo mwanaume atakuua bure. rudi kwenu kajipange upya. chukua mtoto wako, hao wengine mwachie mwenyewe baba yao. usikate tamaa hujui mungu kakupangia nini. utapata mwanaume mwingine ataekuheshimu nakukuthamini. usipoteze nda wako kwa mtu asiejali maisha yako.
 
Kiukweli sie wadada mara nyingine tunajitakia haya mambo, mi nnachojua mara nyingi wewe kama mwanamke ukikubali kua na mume basi ujue ukubali haya yanayotoke. Maana kama aliweza kumuacha mkewe na kukufuta wewe na wewe ukaona ndo umepata basi itabidi ukubali tu zamu yako imepita waachie wengine. Hiyo ndio rule of the game. Maaana mke wa kwanza alikuachia wewe na wewe inabidi umuachie mwenzio wala usoine nyongo bi dada. what comes around goes around

Nami nilitaka kumshauri kama wewe kibali, ila kwa kuwa maji yameshamwagika na majuto ni mjukuu, pengine labda nitoe ushauri ufuatao:
Aina ya mwanume uliyenaye, ni kati ya wale wengi wanaowaza kwa kutumia UUME.
Mapenzi yaliumbwa kwa ajili ya watu wawili kushare(kushirikiana). Sasa linapokuja suala mapenzi yanashirikisha zaidi ya watu wawili, kimsingi huwa sio sawa.
Maadamu umejaribu kuongea naye sana na umebainisha kuwa haambiliki, binafsi ningekushauri ujiweke kando na hilo suala ulifanye kisheria ili mtoto wenu apate haki zake zote toka kwa baba.
Kinyume na hapo binafsi naamini utakuwa uniaweka afya yako rehani, hivyo piga moyo konde.
Umri wako bado ni mdogo kuingia kwenye mateso na manyanyaso ambayo una uwezo wa kujinasua.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom