estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Kweli mbaya wa mwanamke NI mwanamke mwenzie...!!! KWA HIYO AKIMUACHA NDO UTAMPA AKUGEGEDE??Kuna Kaka mmoja kanitokea anasema ananipenda na kwa upande wangu huyu jamaa nilikuwa nampenda zamani hizo ila sikumwambia sasa kajileta mwenyewe, na huyu kaka ana mwanamke anaishi nae na wana mtoto nilichomwambia kuwa kama unahitaji kuwa na mimi aachane na baby mama wake ndo tuta make love ananiambia eti atamuacha taratibu hivi kumuacha mtu taratibu ndo anamaanisha nini mana nilicheka sana
Hakuna kuachana taratibu ukipanua mapaja na habari yako imekwisha labda uamue tu kumtunuku hicho kipochi manyoya na wewe utoe kutu huko chini baasi
Wewe mpe anachohitaji utaona anavyomwacha taratibu.Kuna Kaka mmoja kanitokea anasema ananipenda na kwa upande wangu huyu jamaa nilikuwa nampenda zamani hizo ila sikumwambia sasa kajileta mwenyewe, na huyu kaka ana mwanamke anaishi nae na wana mtoto nilichomwambia kuwa kama unahitaji kuwa na mimi aachane na baby mama wake ndo tuta make love ananiambia eti atamuacha taratibu hivi kumuacha mtu taratibu ndo anamaanisha nini mana nilicheka sana
Sio poa kuvujisha siri za vikao mkuuHakuna kuachana taratibu ukipanua mapaja na habari yako imekwisha labda uamue tu kumtunuku hicho kipochi manyoya na wewe utoe kutu huko chini baasi
Kwa uzoefu wangu utapotezewa muda. Imewahi nitokea mimi binafsi nikapata mwanamke ambaye nilimpenda kuliko baby mama, tena nilikuwa naishi nae na tuna mtoto mmoja.Kuna Kaka mmoja kanitokea anasema ananipenda na kwa upande wangu huyu jamaa nilikuwa nampenda zamani hizo ila sikumwambia sasa kajileta mwenyewe, na huyu kaka ana mwanamke anaishi nae na wana mtoto nilichomwambia kuwa kama unahitaji kuwa na mimi aachane na baby mama wake ndo tuta make love ananiambia eti atamuacha taratibu hivi kumuacha mtu taratibu ndo anamaanisha nini mana nilicheka sana
Wewe ni gari inayoanza mwendo haujakolea mwenzako tayari keshafika mwendokazi 150 akisimama ghafla anaweza kupata ajaliKuna Kaka mmoja kanitokea anasema ananipenda na kwa upande wangu huyu jamaa nilikuwa nampenda zamani hizo ila sikumwambia sasa kajileta mwenyewe, na huyu kaka ana mwanamke anaishi nae na wana mtoto nilichomwambia kuwa kama unahitaji kuwa na mimi aachane na baby mama wake ndo tuta make love ananiambia eti atamuacha taratibu hivi kumuacha mtu taratibu ndo anamaanisha nini mana nilicheka sana
Kwamba? HahahahahahahahSikutegemea[emoji57]
Hahahahaha boss Kwani mimi naingiaga kwenye vikao vyenu!?? Ila kumbe ni kamchezo kenu sio? Kusema ntamwacha taratibu na msiacheSio poa kuvujisha siri za vikao mkuu
Hahahahahahahahah nimecheka sana ka mkubwa dahWewe ni gari inayoanza mwendo haujakolea mwenzako tayari keshafika mwendokazi 150 akisimama ghafla anaweza kupata ajali