Huyu mtu sijamuelewa

Huyu mtu sijamuelewa

Kuna Kaka mmoja kanitokea anasema ananipenda na kwa upande wangu huyu jamaa nilikuwa nampenda zamani hizo ila sikumwambia sasa kajileta mwenyewe, na huyu kaka ana mwanamke anaishi nae na wana mtoto nilichomwambia kuwa kama unahitaji kuwa na mimi aachane na baby mama wake ndo tuta make love ananiambia eti atamuacha taratibu hivi kumuacha mtu taratibu ndo anamaanisha nini mana nilicheka sana
Maana yake utatafunwa na yule haachwi ndo mke mkubwa
 
Kuna Kaka mmoja kanitokea anasema ananipenda na kwa upande wangu huyu jamaa nilikuwa nampenda zamani hizo ila sikumwambia sasa kajileta mwenyewe, na huyu kaka ana mwanamke anaishi nae na wana mtoto nilichomwambia kuwa kama unahitaji kuwa na mimi aachane na baby mama wake ndo tuta make love ananiambia eti atamuacha taratibu hivi kumuacha mtu taratibu ndo anamaanisha nini mana nilicheka sana
Kwani wanaishii pamojaa.

Kama wanaishi pamoja wewe juaa hawezi kumuachaaa kamwee
 
Kwa uzoefu wangu utapotezewa muda. Imewahi nitokea mimi binafsi nikapata mwanamke ambaye nilimpenda kuliko baby mama, tena nilikuwa naishi nae na tuna mtoto mmoja.

Nilipewa masharti kama uliyompa sema tulikuwa penzini na tunamegana kama kawaida. Hakuna jambo gumu kumwacha mwanamke ambaye hajakukosea.

Nilipiga matukio mengi sana ili akate tamaa ila wapi. Nimelala nje wiki nzima wapi, nimemdhalilisha wapi,kanikuta na huyo mwanamke mara kibao lkn wapi.

Matukio ni mengi sana ila mwanamke hakuondoka.

Yule mchepuko mpaka leo miaka miwili naupa matumaini ila naona umechoka mpaka hapa navyoandika umenitema baada ya kukosa matumaini

Show ya mwisho nimepiga Jumapili.
Siku sio nyingi huyo mwanamke wako akigeuka kwa mateso uliyompa sie tutaishia kusoma tu Jf ,Mke ambanika mumewe

Mungu nisaidie nisije kumnyanyasa huyu mtoto wa watu ambaye ni ubavu wangu
 
Aah hamnaga kuacha taratibu wewe utatumika kwa mda uliopo(matumiz ya mda)hyo n mshenzi tu kama wengine
 
Na wewe hapo unaona umeongea point kumbe urojo mtupu
 
Back
Top Bottom