Huyu mtu sijamuelewa

Huyu mtu sijamuelewa

estlyjonathan

Member
Joined
May 26, 2016
Posts
84
Reaction score
122
Kuna Kaka mmoja kanitokea anasema ananipenda na kwa upande wangu huyu jamaa nilikuwa nampenda zamani hizo ila sikumwambia sasa kajileta mwenyewe, na huyu kaka ana mwanamke anaishi nae na wana mtoto nilichomwambia kuwa kama unahitaji kuwa na mimi aachane na baby mama wake ndo tuta make love ananiambia eti atamuacha taratibu hivi kumuacha mtu taratibu ndo anamaanisha nini mana nilicheka sana
 
Kweli mbaya wa mwanamke NI mwanamke mwenzie...!!! KWA HIYO AKIMUACHA NDO UTAMPA AKUGEGEDE??

Tafuta wako banaa... Au kavunje mahusiano ya wale ambao bado hawajazaa
 
atamuacha pole pole....amekwambia ukweli....kama kweli unampenda muelewe....ila kuwa makini.....nyigu hudunga na kukimbia mbali....nyuki hufia karibu
 
We mwanamke si mzuri kitabia,atamuachaje mkewe kwa ajili yako?we kula naye bata tu,au achana naye utafute wako
 
Kuna Kaka mmoja kanitokea anasema ananipenda na kwa upande wangu huyu jamaa nilikuwa nampenda zamani hizo ila sikumwambia sasa kajileta mwenyewe, na huyu kaka ana mwanamke anaishi nae na wana mtoto nilichomwambia kuwa kama unahitaji kuwa na mimi aachane na baby mama wake ndo tuta make love ananiambia eti atamuacha taratibu hivi kumuacha mtu taratibu ndo anamaanisha nini mana nilicheka sana
Wewe mpe anachohitaji utaona anavyomwacha taratibu.
 
Ladies will *** a rich guy for Free, then bill a Broke guy because he’s in Love.
 
Kuna Kaka mmoja kanitokea anasema ananipenda na kwa upande wangu huyu jamaa nilikuwa nampenda zamani hizo ila sikumwambia sasa kajileta mwenyewe, na huyu kaka ana mwanamke anaishi nae na wana mtoto nilichomwambia kuwa kama unahitaji kuwa na mimi aachane na baby mama wake ndo tuta make love ananiambia eti atamuacha taratibu hivi kumuacha mtu taratibu ndo anamaanisha nini mana nilicheka sana
Kwa uzoefu wangu utapotezewa muda. Imewahi nitokea mimi binafsi nikapata mwanamke ambaye nilimpenda kuliko baby mama, tena nilikuwa naishi nae na tuna mtoto mmoja.

Nilipewa masharti kama uliyompa sema tulikuwa penzini na tunamegana kama kawaida. Hakuna jambo gumu kumwacha mwanamke ambaye hajakukosea.

Nilipiga matukio mengi sana ili akate tamaa ila wapi. Nimelala nje wiki nzima wapi, nimemdhalilisha wapi,kanikuta na huyo mwanamke mara kibao lkn wapi.

Matukio ni mengi sana ila mwanamke hakuondoka.

Yule mchepuko mpaka leo miaka miwili naupa matumaini ila naona umechoka mpaka hapa navyoandika umenitema baada ya kukosa matumaini

Show ya mwisho nimepiga Jumapili.
 
Kuna Kaka mmoja kanitokea anasema ananipenda na kwa upande wangu huyu jamaa nilikuwa nampenda zamani hizo ila sikumwambia sasa kajileta mwenyewe, na huyu kaka ana mwanamke anaishi nae na wana mtoto nilichomwambia kuwa kama unahitaji kuwa na mimi aachane na baby mama wake ndo tuta make love ananiambia eti atamuacha taratibu hivi kumuacha mtu taratibu ndo anamaanisha nini mana nilicheka sana
Wewe ni gari inayoanza mwendo haujakolea mwenzako tayari keshafika mwendokazi 150 akisimama ghafla anaweza kupata ajali
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe,,,,,,,,,
huyo mhenga aliona mbali,,,,,
 
Wewe ni gari inayoanza mwendo haujakolea mwenzako tayari keshafika mwendokazi 150 akisimama ghafla anaweza kupata ajali
Hahahahahahahahah nimecheka sana ka mkubwa dah
 
Back
Top Bottom