Huyu mtu hapaswi kusamehewa kabisa

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,093
Reaction score
2,747
Kila nikizingalia hizi picha za mauaji na majeruhi roho inakufa ganzi. Huyu mtu ni katiri sana, hafai kabisa. Picha zinaumiza mno.

Halafu anakuambia hajali chochote, nguvu iliyotumika ni sahihi, seriously? Huyu ni mtu au shetani?

Watanzania tusimsamehe huyu mtu pamoja na wote wanaomtetea.

Huyu mtu ni jini mnywa damu atatumaliza wote.

We are not safe at all.
 
Alisema ni sahihi kwasababu 2001 kuna wapemba waliuwawa hivyo anahisi ni sisi watanganyika tuliua na ni sawa mzanzibari naye akaua watanganyika.
 
Anaye ua kwa upanga naye atauliwa kwa upanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…