Pole sana
Usikubali kuzaa nae huo ni mtego dada utakuja kulia tena huku kua umeshakua single mother!
Umekunywa chai kwanza
Upweke na upwiru vinatesa sana ata ww huna msimamo ndo maana unashika huku na uku na ndo anguko lako lilipo mpe Chris mzigo akutoe upwiru huo akili kukaa vizuri
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
We Kadogoo una mambo mengi sana aisee na hii nyuzi zako mbona unajichanganya sana? Focus na future yako Mume bora hutoka kwa BWANA tunza utu wako usiuache uchezewe chezewe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri wataalam wa ndoa waje mm hapo sijui kabisaHivi ndoa ya serikali nikitaka kufunga inaweza kuwa ya siri yaani nijue mimi na mtu wangu bila mashahidi wenginee… maana kwa kazi yake kwasasa bado muda
Siku hizi nimekuwa kajinga sana.Kila nikisoma sielewi.Hata hivyo ieleweke maisha ni mchakamchaka.
Subiri wataalam wa ndoa waje mm hapo sijui kabisa
Mbona kama wewe ndio chris mwenyewe!Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz wangu wa nnje ya nchi maana hatukuwai kuonana live ilikuwa ni mahusiano ya mtandaoni
Kwa kipindi hicho sikuwa na mahusiano yoyote zaidi ya huyo mwanaume wa nnje ya nchi…. Kama unavojua mwanamke na mwanaume wakikaa pamoja sumaku huvutana
Kwa kipindi hiko sikuwa nampenda yoyote kati yao maana sikuzingatia… ukaribu na chris tukajikuta nimempa tunda, hilo jambo nilijutia sana kwasababu sikuwa nikimpenda halafu jamaa sijui ndio akazama kwangu, akaanza kuwa msumbufu mpk kukeraa,, nikamdanganya nina ujauzito wake ili tu nile pesa ake kweli kaka akajitoa sana kwa harakaharaka ndani ya hiyo miezi 2 nilishatumia zaidi ya laki 9 ( alinitengenezea bima, account ya benk kila mwezi anaweka laki 2 hii ilikuwa kwaajili ya maandalizi ya kujifungua alisema niwe natunza nilipokea miezi2 tu)
Baada ya miezi 2 nikamwambia mimba imetoka jamaa alilaumu sana akisema nimetoa ila mimi nilikazana imetoka basi bhn nia ilikuwa ni kumuacha ili nibaki na mwanaume wangu wa siku zote maana alionesha malengo japo hatukuwai kuonana… nilifanikiwa kumuacha yule kaka( chris) japo alikuwa king’ang’anizi
Mpnz wangu wa nnje alirudi tukaonana na mipango ikaendelea na alikuwa akinipenda sana but kama mnavojua mipango si matumizi yule kaka sipo nae tena( siwezi kuelezea kilichotokea maana nitafungua code ila hatuna mahusiano kabisa kabisa) ila hatukuachana kwasababu za usaliti au uongo ni sababu za kimungu tu
Kwa sasa nimerudi kwa chris japo mguu pande kwasababu sijamuamini kiivo… kuna jambo alimwambia rafiki yake kwamba mimi alinifumania jambo ambalo sio kweli na nimeshangaa ni kwanini amemwambia rafiki ake hivyo kwamba alinipigia simu usiku akasikia sauti ya mwanaume anauliza naongea na nani( jamaani wananchi ilo jambo ametunga si kweli)
Sasa nimewaza huyu jamaa sio kwamba karudi kulipa kisasi kwangu nilivyomuacha
Mimi nilimuacha kwasababu ana akili za kitoto mfano akipiga simu upokee hapo hapo kama hupokei atapiga hata mara 20 mpk nikawa naogopa ukipikea sasa zinaanza lawama hii hali ya kulaumiwa kila siku nikaichoka yaani tuna miezi 2 ila kama miaka ndio ikapelekea nimuache
Kilichonirudisha kwake ni kwakuwa sina mtu ninaemuelewa kwa sasa then nimeona kama yeye ananipenda japo mimi still nasuasua
Ila sasa hivi amekuwa bahili hata vocha ni kusumbuana… anachosema mimi sieleweki kigeugeu ili aniamini anataka tuzae mtoto[emoji3064][emoji3064]
Wakuu ushauri kuhusu huyu mtu nifanyaje
Najitahidi kula ugali kwa kansolele kutwa mara tatu.Nadhani ntapona tu.Ugonjwa huo mkuu
Usithubutu kuzaa utaula wa chuyaHuyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz wangu wa nnje ya nchi maana hatukuwai kuonana live ilikuwa ni mahusiano ya mtandaoni