Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 2,106
- 3,027
Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.
Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,
Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.