Huyu mtu aliwaza sana.

Huyu mtu aliwaza sana.

ZING SOKONI

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,512
Reaction score
57,115
Unafikiri hapa jamaa atafanikiwa kuitumia baiskeli kama kawaida?. Na kwanini
986a6509c4a1afb4c29dae26513ee28b.jpg
 
anaweza kutumia lkn itakuwa kwa tabu kiasi kwasababu ya umbo endapo kutakuwa namawimbi,pia kwenye kukata kona nadhani kutakuwa na mushkeri kidogo endapo sina uhakika sana,pia kuna uwezekano wa kulowa coz hilo ringi litakuwa linapeleka maji mbele kama akitumia nguvu sana ktk kusukuma pedo
 
mtihan itakua kwenye kukata kona...sterling ilitakiwa hilo gurudum la nyuma lilitakiwa lihusike na ukataj kona pia
 
mtihan itakua kwenye kukata kona...sterling ilitakiwa hilo gurudum la nyuma lilitakiwa lihusike na ukataj kona pia
Hilo gurudumu la nyuma si litakuwa linaelea?
Shida itatoka wapi wakati wa kukata kona!
 
anaweza kutumia lkn itakuwa kwa tabu kiasi kwasababu ya umbo endapo kutakuwa namawimbi,pia kwenye kukata kona nadhani kutakuwa na mushkeri kidogo endapo sina uhakika sana,pia kuna uwezekano wa kulowa coz hilo ringi litakuwa linapeleka maji mbele kama akitumia nguvu sana ktk kusukuma pedo
Umeeleweka mkuu
 
Mpak inapoonekana hapo INA maana imefanikiwa na inafanya kazi labda kama unataka kuiboresha zaidi
 
Hilo gurudumu la nyuma si litakuwa linaelea?
Shida itatoka wapi wakati wa kukata kona!
gurudumu la nyuma ndo lipo contact na maji so lazima lenyew lihusike kwe kukata kona otherwise kwa jins hio baiskeli ilivyo hapo juu sterling hata igeukie wapi lakin uelekeo wa baiskeli hauwez kubadilika..lile gurudumu linalosukuma maji ndo linaloweza kukatisha kona kwa kusukuma maji kwe opposite direction..yaan km mtumbwi mwenye mwiko kule nyuma ndo anakatisha kona
 
mpaka hapo mgunduzu ameshatoa wazo. kwa maoni yangu heri ya huyu mara 10 kulinganisha na wasomi wanaosifika kutoa machapisho pekee bila vitendo. hapo atajitokeza mgunduzi wa kuboresha 'blades)/mapanga yawe makubwa kuwezesha mwendo kasi, kuimarisha ufungaji wa 'maboya' maana life span ya hiyo mipira si ya kuaminika, rada na ufungaji wa nanga ili kukiimarisha chombo ikitokea dhoruba. *MY TAKE: tuliopitia UMITASHUMTA/UMISETA tunalaumu mfumo ulioisitisha hii mifumo ya elimu. tulikuwa tukikutana na watu wenye vipaji. kiukweli tuliiua Tz na maarifa yalizikwa kwa utashi wa kisiasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom