Huyu mtoto jamani!✔

Mtoto mmoja leo asubuhi kaamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele "Mamaa!" Mama yake akaamka na kumuuliza "nini mwnangu?" Mtoto akajibu "Mama nimeota ndoto mbaya sana," "ndoto gani hyo mwanangu?"
Mtoto akajibu "Nimeota tumefungua shule"...
:D:D:D:):):)
Hahaahaa
 
Atakuja kuwa Mwana CCM huyo, mfanyie Maombi upesi
 
Mtoto mmoja leo asubuhi kaamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele "Mamaa!" Mama yake akaamka na kumuuliza "nini mwnangu?" Mtoto akajibu "Mama nimeota ndoto mbaya sana," "ndoto gani hyo mwanangu?"
Mtoto akajibu "Nimeota tumefungua shule"...
:D:D:D:):):)
Ha ha ha ha
 
Yapo hayo,mwalimu mwenyewe shule zikifunguliwa anachukia ingawa mshahara anapokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom