fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,239
Huyu mtangazaji wa Azam tv anayetangaza mpira baina ya Simba na URA ni hovyo hawezi kuwataja wachezaji wa URA anaishia kusema haya unapigwa kule mbele mpira, unapelekwa kule mbele, unapandishwa kule juu sasa mpira umeanza kwa taratibu yaani anaudhi.
Last edited by a moderator: