rafiki yako wa kiume?.....:A S-eek:
ni wewe au mshikaji wako...
huyo gal atakua anapima upepo kamuweka mshikaji kwenye waiting list
ni wewe au mshikaji wako...
huyo gal atakua anapima upepo kamuweka mshikaji kwenye waiting list
Aendelee tu kumganda, in the long run kinaweza kikaeleweka. Inawezekana girl yupo kwenye mahusiano ambayo ni complicated, na hataki kucheat, so anasubiri tu siku mambo yakiharibika ahamishie majeshi kwa rafiki ako. In short girl anampenda jamaa ako ila kwa sasa kuna kitu kinamzuia asimkubali. Kama jamaa ako anampenda kweli huyo girl, basi amvumilie tu.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mnakuwaga na waiting list?
Kama sio zombie list...
belgium 2 argentina 1.final score
we mwenyewe nimekuweka waiting list
Kuna rafiki yangu wa kiume alimtongoza gal flan hv,yule gal akamwambia kua ana mtu wake,jamaa akabembeleza bt yule gal akaendelea kushkilia mcmamo wake kuwa ana mtu,but kinachomshangaza huyu mshkaji,kila akimwomba gal wakutane gal hakatai,anakuja wanapga story,demu anamwambia mshkaji kuwa in long run wanaweza kuwa wote bt kwa sasa big NO coz ana mtu..sa mshkaji anajiulza ni kwel demu ana mtu au aendelee kumganda mpaka kieleweke?