Tushfutshtar
Senior Member
- Dec 30, 2017
- 117
- 111
Ahsante mkuu.Hii tunaita dereva kapewa ramani kazi yake ni kunyosha gari
Hapo ufuate moyo wako
Maana mapenzi hayana mshauri
Mwanamke uacha wazazi wake akifuata hako kakiungo ka katikati. Hivyo lazima ajihakikishie kama kapo na kanafanyakazi! Weee vipi?Huyu dada tumekutana nikampenda kwa dhati na nina malengo mazuri na yeye. Nashukuru alinipa ushirikiano hadi sasa tunaendelea kuwasiliana vizuri. Mm kama MTU ambae nimepitia mabinti wengi huko zamani sikuhitaji na yeye huyu niwe mpitaji kwake,sasa cha ajabu nlilipata taarifa za uhakika toka kwa MTU wake wa karibu akidai tangu niwe naye sijawahi kumuomba tuvunje amri ya 6,akaongeza kusema haamini kama Niko sawa (huenda jogoo hawiki). Hoja yake ni kuwa sio kawaida kwa wanaume.
Hii taarifa imenishtua sana nikaamua kumpigia simu nikamuomba faragha cha ajabu karuka mita maelfu, anadai kwanza hakutegemea kitu kama hicho maana anaamini mda bado japo ananipenda sana. Sina shaka na taarifa hiyo sababu nimefatilia nimeona kuna ukweli.
Ushauri; Kwa faida ya wadada wengine, muwe na subira mwanaume anaweza kutumia mbinu nyingi sana kumpima mwanamke anaejielewa. Sio kwamba kwa kuwa kila mwanaume anaekutongoza anaomba mchezo mkajua ni wote na kwamba asieomba ni kama bwege fulani hivi. Daaah nimeshangaa sana.
Wanaume wenzangu jambo hili nimebugi ? Au Dada ndo anataka kubugi maana anaelekea kunidharau. Na mm nimeanza kushuka imani nahisi anafaa kutumika tu huyu arafu nimbwage.
Jioni njema nyote.
Ooohh maana ake nimechelewa kufanya taratibu za kumuweka ndani! Kama hivo nimekuelewa aisee. Mwanza kuona kosa langu lilipo. Ahsante sana.Iko hivi ; unapotaka kuoa ,ukishamuona akufaaye unamtongoza kisha yy akikukubaki trtb nyingine zinafuata. Mambo mengine mengine mbwembwe tu
Dash hahahahah basi kila mtu na akili zake aisee yani kuna wanawake wana misimamo sana wanataka hadi ndoa,sasa hswa WA aina hiiwao tusemeje?Mwanamke uacha wazazi wake akifuata hako kakiungo ka katikati. Hivyo lazima ajihakikishie kama kapo na kanafanyakazi! Weee vipi?
Kweli ee? Sidhani kama nimekosea!umekosea kumpenda
Umeshampenda na umeona anakufaa ,umemtongoza kakuona unamfaa na kakukubalia bado nini tena?Fanya mipango weka ndani ,piga miti mimba - familia inaanza hapo au?Ooohh maana ake nimechelewa kufanya taratibu za kumuweka ndani! Kama hivo nimekuelewa aisee. Mwanza kuona kosa langu lilipo. Ahsante sana.
Nashukuru kiongozi.No one is perfect Uncle.Ila maamuz ni yako
Haahaha bonge la point,lakini c unajua kuna time kidogo kwa ajiri ya assessment maana kizazi chetu hiki n shida sana.Umeshampenda na umeona anakufaa ,umemtongoza kakuona unamfaa na kakukubalia bado nini tena?Fanya mipango weka ndani ,piga miti mimba - familia inaanza hapo au?
Mwanamke uacha wazazi wake akifuata hako kakiungo ka katikati. Hivyo lazima ajihakikishie kama kapo na kanafanyakazi! Weee vipi?
Nmekupata mkuu.Test validity then relax
Lazima atakuheshimu, mambo mengine baadaye.
Tofauti na hapo utakuwa unapaka rangi upepo