Huyu msichana mimi simuelewi

mtoa mada mweleze huyo dada makavu live kuwa akuache uendelee na maisha yako kitendo cha kukupigia na kuomba muonane ni kwamba anapima ujinga wako sasa wewe komaa na achana nae kabisa hafai kuwa mke huyo hata kidogo maana kama ulipanga kumuoa na yeye akadiriki kukuambia ana mtu mwingine ni kwamba hana upendo na wewe hata kidogo bali atakuwa alikuwa anakutumia kwa maslahi yake binafsi tu. Tulia utapata mwanamke bora ambaye atakuwa mke wako hapo baadae. Nakupongeza kwa kuumizwa na kuwa na msimamo wa kutowachukia pindi unapowaona huo ndio uanaume unaumia rohoni tu ila usoni unacheka
 
Kukaa kimya ni jibu tosha....
 
dah huyo demu alikusaidia sana kupungua uzito, mie nashinda gym miezi sita sasa nimepungua kilo nne tu. Ulipata bahati sana
 
Appreciate this
 
Nimependa plan hako. Hakika hili igizo ukilitimiza.. ex anaweza kuota milele
 
Achana nae tu.na msamehe kwa yote ila usifanye kosa kurudiana nae. Atakuumiza tena. Maana alikwambia mwenyewe ameshapata mwanaume.
 
Nimependa plan hako. Hakika hili igizo ukilitimiza.. ex anaweza kuota milele
Mtu akijidai mjuaji mbane mpaka kule anakoenda aendelee kukumbuka hata akifikiri kumfanyia mwingine ajiulize mara nne nne
 
Ukiamua kutumia ujinga utakugharimu ilihali mpaka sasa ushavuka sehemu kubwa ya gharimu hiyo. Huna haja ya kuonananae, utafukua uchungu ulipo, hawezi kukwambia simuni mwambie basi, kuonana no.
Mwanamke gani huyo usawa huu anakuomba laki mbili kama anaomba vocha? Anakuuzia nini? Hafai hata kuwa mke huyo.
 
Mwambie aje kwako! Akija pakua mzigo halafu achana nae mazima na ikiwezekana badili had I namba zako za simu.
 
mhh hata akija usipige mzigo mkuu, kuna jamaa alikutana na mtihani kama huo demu akaomba waagane ka mwisho, jamaa akakubali basi alipigiwa show ya ukweli,akamsamehe mwenyewe
 
dah huyo demu alikusaidia sana kupungua uzito, mie nashinda gym miezi sita sasa nimepungua kilo nne tu. Ulipata bahati sana
bahati nzuri nilipata ambaye ananipa viti el-mubasher hadi nimerudi kuwa kama captein komba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…