Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,213
- 4,192
Mkuu upo sasa yaani ogopa sana ukikaa kimya unaweza mnyima usingiziHuu ndo uwanuaume ninaoutaka mm kila Siku,kukaa kimya nalo ni jib chief,kufanya vimbweka vyote ili akuone unatetereka but umekaza ukayachukua maumiv yako na kuyaweka mfukon,Bravo's You,we kakikutafta tenha we kasikilize tu then hata usionyeshe chochote,hakuna kitu kinatesa MTU akupigie kimya,mana hapo anajiuliza maswal bila majib
Safi sana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ma-X wangu wote huwa wanasema mi Nina roho ya kigaidi, sababu mi demu akinizingua nafuta mawasiliano yote na huwa napiga kimya mazima ila nikikutana nao Hi nawapa, washalia wee mi nawacheki tu. Huyo demu we piga kimya kabisa endelea na mishe zako. Watoto wazuri wako wengi sana nowdays.
akija msikilize halafu mpotezeee .
Mimi siyo mdau wa mkubw wa MMU. Lakini lazima nikiri kwamba wewe umenigusa sana kwa uwezo wako wa akili. Hongera sana kwa kuwa na mtizamo mpana.1. Hicho unachotakwa kuambiwa kwanini usiambiwe kwenye simu au SMS? Au akuandikie barua kama alokuandikia kuku-dump. Anang'ang'ania kuja kwako Trust me hakuna jema hapo. Kama ni kuonana muonane mahali public
2. Alikutajia anaejimenyea mpya ili ulete ugomvi au maneno. Ukawa mwanaume wa kweli ukaliepuka. Kipande hiyo kashindwa. Anakuja kwako ili lengo la ugomvi litimie, yule jamaa mwingine aje iwe vurugu. Au akiwa kwako ampigie yule mwingine amtusi amwambie yuko na wewe. Nasikia harufu ya mtego. Kaa chonjo
3. Keshatiwa mimba. Na vile anakujua anajua atakugusa wapi au atasema kipi ulainike ujichapie tena "Fillet" bila condom. Ubebeshwe mimba ya mwenzako ilotungwa 14th Feb. Usikubali faragha at any cost
4. Kama ni mshirikina au keshafundishwa na mashosti anakuja kwako ku-plant. Mkatae kwako asifike.
Uamuzi ulochukua mwanzo wa kukaa kimya ni sahihi sana usikubali leo kuubadili.
Hasira na machungu ya kuachwa yaelekezee kwenye kutafuta hela na ahueni ya maisha. Utapata mwingine atakaekupa raha na kukuheshimu mjenge Empire pamoja
hapana hawezi kuhama kwa sababu ya mpuuzi mmoja!Pole mkuu! Wadada sisi!!!!
Kama hutaji kuwaona kabisa, ukiwa na unauwezo wa kuhama sehemu hiyo ningekushauri uhame ila kama huna uwezo huo basi komaa na msimamo wako. Usimpe time ya kujieleza na wala usimjibu msg. Usibadilishe njia, jifunze kuwapotezea.
Acha aje umsikilize anachosema.Then ulete mrejesho,lakini pia we teketetea ndani kwa ndani ukiwaona wape hi,muonyeshe huumii kwa aliyoyafanya hata kama unaumia,mkataze kuja kwako siku mkikutana atakapokuja kukuona,akikusmasm salam mjibu salam and no more,akikupigia usikasirike mpaka ajione kumbe ulikuwa unasubiri aseme muachane muachane kweli.Usibadilishe namba ya cmu, njia wala nini komaa nao hivyo hivyo.Habari zenu ndugu zangu bila shaka mko poa,,
kuna jambo linanisumbua naombeni ushauri wenu kabla sjafanya chochote ,,,ni hivi
kuna binti mmoja nilikua nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo ,,nilipanga kumuoa kabisa baadhi ya ndugu zake wanalifahamu hilo
tar 12/2 mwaka huu alipigia simu na kuniomba pesa kidogo anashida nayo pesa ni 200,000 ,,
nikamjibu sina pesa kwa siku hio labda kesho njoo home uchukue,, hakujibu akakata simu
sikua na presha yoyote nilijua kachukia kwa muda tu,,
tangu hapo nikimpigia cm hapokei nikimtumia sms hajibu,,
ilipofika 14/2/ valentine day ,,alitumia siku hio kufanya jambo,, nikiwa nimerudi kwenye shughuli zangu nipo ndani nimepumzika ,,nkaskia mlango unagongwa nikaamka kufika nakutana na mtoto wa jirani wa kiume ameniletea bahasha akaniambia nimepewa kule nikuletee wewe nkasema sawa .
skujua ninani kamtuma yule mtoto ,
Nikafungua na kuanza kusoma
hakika ilikua siku mbaya sana kwangu kwakifupi aliniambia Mimi na yeye basi na tayari anabwana mwingine ,,kibaya zaidi akanitajia na jina la jamaa ambae namfaham,,
basi niliumia sana na mbaya zaidi nilikua nikiwaona wakiwa pamoja nyakati za jioni nikirudi job,
hapo nilimkumbuka mungu wangu niliumia sana lkn ninapokutana nao nawasalimia kwa furaha mpaka wanashangaa
tangu tar moja mwezi huu nimebadilisha njia staki kuumia bure,
lkn wiki iliopita kanipigia cm sijapokea akatulia
kanitumia sms kunisalimu nikamjibu akatulia,,
sasa Jana kanipigia cm kwa namba nyengine akaniambia kuna kitu anataka kuniambia kesho nikamuuliza kitu gani akasema nitakuambia tukionana ,,,jioni ya Leo narudi job nakuta ujumbe kua amekuja kuniulizia
sasa wadau nimfanyaje huyu dem Mimi ninahasira nae yeye hajui tu ,,,nikimtazama nakumbuka upuuzi alionifanyia inauma sana
Nishaurini wadau nimkwepe vp huyu kwasababu nikionnana nae naweza kufanya jambo la ajabu nikapata matatizo
Basi ndo ajikaze kiume!!! Asibadili njia kwa ajili yaohapana hawezi kuhama kwa sababu ya mpuuzi mmoja!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] una gari??, usije kimbiwa na ww ukaja lia hapaNipe namba zake nimsikie maana huwez kutunza