Huyu msichana ataniua hakika

Hapo kwa jinsi ulivyoelezea sioni kama kuna mbinu zozote za wewe kumpata huyo dada, hakuna mtu wa kukupa confidence isipokuwa wewe mwenyewe. Na unaonekana ushafeli tayari.
 
Wewe ndio umemganda yeye..

Ukilijua hilo utamuondoa akilini hata usiku huu huu.

PiGa shule, Muhimbili sio kanisani napafahamu vizuri hapo
ndicho nilichooomaanisha mkuu kwamba amenikaa akilini sana, na kuhusu shule napiga kwelikweli ila napitia katika kipindi hiki
 
nasoma muhimbili kaka
mdogo wangu *Testosterone* *hormones* zikianza kusambaa mwili mzima huyo girl unayempotezea utaamwona DHAHABU ....na pia SAFARI ZA KWENDA OPEC (ZANAKI GIRLS HIGH SCHOOL) utaziona za kawaidiaa sana mdogo wanguuuu

HINTS.
waulize walioko 3rd year na wengineo WATAKU TELL TUUU ASEEEE

HINTS 2
USIJE PIGA PUCHU. Coz ina haribu nerves systems za kubeba hayo madesa ,pia soma sana aseeeeee maana wanadisco sio chamtoto hapo
 
Duh! Pole sana. Ili kweli ni tatizo, tena leo kisaikolojia. Sasa basi kuwa Mwanaume na usiwe mtoto wa kiume.
 
Hiyo ni Saikolojia. Yaani akili yako umeifanya ifikilie jambo ama kitu fulani bila kuipa uhuru. Ipe akili yako uhuru basi ifanye maamuzi sahihi, jaribu kupata mda wa kutosha kupumzika. Ifanye akili yako iwe huru.
asante sana mkuu lakini sasa nawezaje kumuondoa akilini maana ameniganda sana
 
shukurani mkuu
 
Hiyo ni Saikolojia. Yaani akili yako umeifanya ifikilie jambo ama kitu fulani bila kuipa uhuru. Ipe akili yako uhuru basi ifanye maamuzi sahihi, jaribu kupata mda wa kutosha kupumzika. Ifanye akili yako iwe huru.
nashukuru sana mkuu
 
Mwandikie barua,simple!!!
 
Basi mtoe akili mwako. Kama uliweza kumeweka akilini unashindwa nini kumtoa.!!!!
ndicho nilichooomaanisha mkuu kwamba amenikaa akilini sana, na kuhusu shule napiga kwelikweli ila napitia katika kipindi hiki
 
Wew jamaa nikiona avatar yako
Nacheka sana.
Coz namkumbuka LioRush wa wwe kama unakajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…