Huyu msichana anamaanisha nini?

Huyu msichana anamaanisha nini?

anasema yeye msimamo wake ni kuwa atafanya baada ya mimi kwenda kwao kujtambulisha na kumuowa, lakini anakuja deto na vinguo vya ovyo mara ajidai anainama mapaya yanabaki wazi mara anakaa kajitanua miguu nguo ya ndani inaonekana , sasa simuelewi
 
We akija mwambie
unampenda sana. usigusie swala la kungonoka. ila jaribu kumkiss,
akikubali we jaribu ku iprolong hiyo kiss, then kuwa na pause fulani
kidogo na tena onyesha kama ile kiss imeku-touch. Jaribu another attempt
baadae atakuwa speechless na kitakachofuata wewe au yeye hakuna
atayejua mmeanzaje. Ni kawaida kwa mwanamke kusema hivyo lakini si
kwamba ndo anamaanisha. usiwe mgumu kuelewa. wanawake wanapenda follow
up to tedt whether what you say is what you mean. Usimuache. They are
happy when you initiate and push the move.

wew kaka nimekuvulia kofia dah? afanyeje? nimecheka eti another attempt?
 
Huyo ndo mwanamke hasa - hatarajii mtu kama wewe usielewe msimamo wake. hebu kuwa msaatarabu kama unataka ngono basi harakisha harusi.

Mphao!
 
Mkuu unataka mpaka aikamate mbo.o aingize mwenyewe ndio ujue keshakaa kibla
Mbona hapo simple tu mkuu....haihitaji kuwa na degree kujua kuwa mtoto anataka mbo.o huyo
aaaaaaaaaagh.....mijitu mingine bwana
 
We akija mwambie unampenda sana. usigusie swala la kungonoka. ila jaribu kumkiss, akikubali we jaribu ku iprolong hiyo kiss, then kuwa na pause fulani kidogo na tena onyesha kama ile kiss imeku-touch. Jaribu another attempt baadae atakuwa speechless na kitakachofuata wewe au yeye hakuna atayejua mmeanzaje. Ni kawaida kwa mwanamke kusema hivyo lakini si kwamba ndo anamaanisha. usiwe mgumu kuelewa. wanawake wanapenda follow up to tedt whether what you say is what you mean. Usimuache. They are happy when you initiate and push the move.

Spoken like a real pro! But truth be told,hii tactic works like magic! Speak less and let your actions do the talking!:A S 11:
 
Last edited by a moderator:
hahahah alafu jamaa wewe kwa thread za uwongo hujambo wewe jana siumekuja na thread hapa kuhusu mkeo kuwa amekuambia kuwa wewe ukimpiga moja unapumzika then unaendelea hahahahaha ng'astuka machale kundesaaaaaa!!
namweleza, na kumbembeleza kuwa nimezidiwa, lakini hasikii
 
Hahahahahahahah shosti usinisemee jamani nileo tuu sirudii tena please

Mie ndo nshakusemea nataka kibarua chako kiote nyasi tuwe ma single ladies heheeiyyya thubutuuu CYBERTEQ dear n mapito tu najua utakua sawa ahahhhha lol hatareee tabibumtaratibu mueke sawa mwenzio huko japo mkeo anachepuka kwa siri mnooo (lool sina.uhakika nsije sutwa)
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaaaaaaaaa! haya huyo tabibumtaratibu kakupa nini sasa ulivyonisemea? mie na my honey tabibumtaratibu twapendana hata umwambie nini hatokusikiliza bibie wewe wapigia mbuzi gitaa aishia chezesha mkia tu hahahaha looo upo hapo mweeeeeeeeee teh teh teh
Mie ndo nshakusemea nataka kibarua chako kiote nyasi tuwe ma single ladies heheeiyyya thubutuuu CYBERTEQ dear n mapito tu najua utakua sawa ahahhhha lol hatareee tabibumtaratibu mueke sawa mwenzio huko japo mkeo anachepuka kwa siri mnooo (lool sina.uhakika nsije sutwa)
 
Last edited by a moderator:
na ww ustuzingue bhana na misired yako ya uwongo. Ngoja mkuu Tyta au watu8 mje hapa mtuletee background ya huyu punga

Hahahahah alafu huyu jamaa muongo wewe siuna muke?haya huyo wawapi au mchepuko maana jana alikuja na lijithread lako hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...li-hii-ya-mke-wangu-ni-heshima-au-dharau.html

dude full of drama....
[h=3]Kauli hii ya mke wangu ni heshima au dharau?[/h] Started by makolola, Yesterday 22:07
Juzi kati nimeamua kumtoa mke wangu out, tukaka mahala tukawa tunakunywa soda pale na ka nyama choma, tukawa tunabadilisha mawazo,akaanza kuniuliza kwa nini moyo wangu unampenda nikamjibu imetokea tu automatic.

Nikamuuliza yeye kwa nini akanijibu "nashukuru sana nimekuwa na wewe maana boyfriend wangu wa mwanzo ilikuwa tukiingia chumbani zaidi ya masaa 6 ananifanya tu na muda mchana bado ananiita na kunifanya na akikojoa hapumziki anaendelea tu lakini wewe unanifanya mara moja au mbili kwa wiki na unapomzika kila goli".
[h=3]Natafuta rafiki wa kike, nahaidi kwamba nitamrizisha[/h] Started by makolola, Yesterday 10:02
Natafuta mwanamke awe na umri wa miaka 20 mpaka 35. nitampa mapenzi moto moto, sibagui dini wala kabila wala upande wa muungano atokao. wala mkoa. taratibu za kujitambulisha tutazifanya baada ya kukubaliana.

sifa zangu.
awe msikivu
awe mkweli na muwazi
awe tayari kujishugulisha walau akiwezeshwa hata biashara ndogo ndogo.

aliyeko tayari ani pm, au aweke namba yake ya simu nitawasiliana naye.
[h=3]Natafuta binti wa kuoa[/h] Started by makolola, 16th September 2014 14:50
Binti kuanzia miaka 20 kuendelea anayetaka kuingia katika mahusiano ani pm
 
na ww ustuzingue bhana na misired yako ya uwongo. Ngoja mkuu Tyta au watu8 mje hapa mtuletee background ya huyu punga

Mkuu huyu boya anapotezea tu watu muda, unjuka wa JF bado haujamuondoka na anaona raha tu kuweka kila takataka anayotaka kuweka hapa...

18 Septemba 2014

https://www.jamiiforums.com/mahusia...li-hii-ya-mke-wangu-ni-heshima-au-dharau.html

Juzi kati nimeamua kumtoa mke wangu out, tukaka mahala tukawa tunakunywa soda pale na ka nyama choma, tukawa tunabadilisha mawazo,akaanza kuniuliza kwa nini moyo wangu unampenda nikamjibu imetokea tu automatic.
 
Ndio utaratibu WA madem WA siku izi mtu wanayemuhitaji kwa ndoa hawampi papucha ila washkaji wanakula kama kawa!
 
Back
Top Bottom