Huyu msichana anamaanisha nini?

Huyu msichana anamaanisha nini?

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
290
Anasema hataki kufanya mapenzi kabla ya ndoa lakini anakuja getto kwangu na kasketi kafupi(kimini) kifupi sana halafu anakaa ovyo naona mpaka nguo ya ndani.

Kiblauzi alichovaa vichuchu vimesimama vinaonekana, cha ajabu nikimgusa anasema hataweza kabisa kufanya mpaka tutakapofunga ndoa.

Sasa najiuliza kama kweli ana msimamo huo iweje aje geto kwangu ovyo namna hiyo na anajua naishi mwenyewe.

Ni nini hasa anakitafuta maana mi sipendi kulazimisha.

Embu nijuzeni huyu ana nini anakitafuta.
 
Hebu muulize kwanza huyo mrembo anataka nini akiwa anakuja kwako yuko hivyo
 
hivi unajua msimamo haupo kwenye nguo azivaazo.....? lakini je umeshamtolea mahari mpaka akwambie hivyo, lakini mlijadiliana hamngonoki hadi ndoa...?
hivi unamshika wapi anakukatalia....?
 
hivi unajua msimamo haupo kwenye nguo azivaazo.....? lakini je umeshamtolea mahari mpaka akwambie hivyo, lakini mlijadiliana hamngonoki hadi ndoa...?
hivi unamshika wapi anakukatalia....?

mahari bado, nikuanza kuuguza paja au chuchu kumuandaa anagoma
 
0765 600009 Rusha picha zake kupitia WhatsApp tuone hayo mavazi na hizo nguo unazoita za ndani!
 
We akija mwambie unampenda sana. usigusie swala la kungonoka. ila jaribu kumkiss, akikubali we jaribu ku iprolong hiyo kiss, then kuwa na pause fulani kidogo na tena onyesha kama ile kiss imeku-touch. Jaribu another attempt baadae atakuwa speechless na kitakachofuata wewe au yeye hakuna atayejua mmeanzaje. Ni kawaida kwa mwanamke kusema hivyo lakini si kwamba ndo anamaanisha. usiwe mgumu kuelewa. wanawake wanapenda follow up to tedt whether what you say is what you mean. Usimuache. They are happy when you initiate and push the move.
 
Haya mambo ya sitaki ngono lakini unaenda chumbani/getto kwa anayetaka....!!
 
na ww ustuzingue bhana na misired yako ya uwongo. Ngoja mkuu Tyta au watu8 mje hapa mtuletee background ya huyu punga
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah honey please recharge me yasubirie mpaka ndoani, kama kugegendwa ataka mpaka ndoani basi vibomu navyo mpaka ndoani, hapo ni jino kwa jino!!
Ndo hivyo ila baby sina hela ya saluni pia yasubirie ndoa ahhha
 
kijana wewe mzima kweli we shikashika maeneo tu mwenyewe anakuja wala vitu vyako vya dubai
 
Kabla ya yote nendeni mkapime Virusi vya ukimwi(VVU), ili mmoja wenu asije kumuua mwenzake.
 
Hahahahah honey please recharge me yasubirie mpaka ndoani, kama kugegendwa ataka mpaka ndoani basi vibomu navyo mpaka ndoani, hapo ni jino kwa jino!!

Ahhhha ndio hivyo asijitie hatak kutoa huduma hajui kama ukijua kupokea ujue na kutoa
 
Back
Top Bottom