huyu mrembo nikweli nitampata?

huyu mrembo nikweli nitampata?

gedo

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
314
Reaction score
53
kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba yake hajauwawa,anahitaji msaada wangu.kanitumia picha zake kwenye email,nimzuri mbaya cheki picha zake hapa chini.anataka nimsaidie kupata hela zake £5.7ml na akizipata atakuja tz nakua mkewngu!msaada jamani nisije ingia chakike...
 
Kuna watu wa aina yako bado Tz? Duh kweli wajinga hawaishi, pole huyo ni mwanaume mwizi
 
utampata tu, endelea kuchart naye kwa email.
 
Hahahahahah


Hahahahahahahauahahhahahahah


Hahahahahahahau😎😎😎😎😎
 
Mbona huo utapeli wa kizamani saana..! Shtuka dogo, hapo hakuna mke..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom