Huyu mrembo hajatokeaga duniani Yaani...

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Habari wanaJF hasa wale wa Mahou-hang(Najua hapa watanielewa wachache)

Kuna mdada humu hapana chezea...yaani...
Ni mtoto mwenye nidhamu ya hali ya juu...ikiwa naye ukampa zawadi nzuri anasema Ahsante nashukuru bampami. Si mnyimi wamaneno yenye bashasha na yenye kugusa Moyo kwa kweli mpaka unafika sehemu unasema hakunaga yaani dah.....
akivaa sasa mfano akavaa kama nguo alova wema jana mbona utamtaka.

Maneno yake mdomoni, tabia yake si ya kutaka mavitu makubwa makubwa kama wengine si mpenda mavyakula ya kileo eti maburger sijui machipsi yai za wiki mbili mpenda asili...

Cha ajabu na kizuri toka kwake yaani si kila akionacho hutamani!!,

Ana harufu ya asili haitaji perfume kali Jamani jamani jamani mwenye wivu ajinyonge ma Bahati ya mwenzio usilalie mlangoni....

cc ( ), ( ), & ( )

ukitaka kuwaona niliowa cc Tumia badilisha Password zako za kuingia humu Jf kuwa 274428 ndo unaweza kuona majina ya niliyowacc na hao ndo waliobahatika kumwona na wakadata vibaya mno.Jina lake humu kaanzia na ( ) nalo ukitaka fanya kubadilisha pia password zako kuwa 274428 utaweza kuona jina lake asili...na picha zake..
 
nawezaje kufungua hayo mabano niwaone hao watu

Badilisha password zako za kulog in jf weka namba zilizopo kwenye thread hapo juu then log in halafu rudi kwenye post hii utawaona Heaven on Earth...
 
Habari wanaJF hasa wale wa Mahou-hang(Najua hapa watanielewa wachache)

Kuna mdada humu hapana chezea...yaani...
Ni mtoto mwenye nidhamu ya hali ya juu...ikiwa naye ukampa zawadi nzuri anasema Ahsante nashukuru bampami. Si mnyimi wamaneno yenye bashasha na yenye kugusa Moyo kwa kweli mpaka unafika sehemu unasema hakunaga yaani dah.....
akivaa sasa mfano akavaa kama nguo alova wema jana mbona utamtaka.

Maneno yake mdomoni, tabia yake si ya kutaka mavitu makubwa makubwa kama wengine si mpenda mavyakula ya kileo eti maburger sijui machipsi yai za wiki mbili mpenda asili...

Cha ajabu na kizuri toka kwake yaani si kila akionacho hutamani!!,

Ana harufu ya asili haitaji perfume kali Jamani jamani jamani mwenye wivu ajinyonge ma Bahati ya mwenzio usilalie mlangoni....

cc ( ), ( ), & ( )

ukitaka kuwaona niliowa cc Tumia badilisha Password zako za kuingia humu Jf kuwa 274428 ndo unaweza kuona majina ya niliyowacc na hao ndo waliobahatika kumwona na wakadata vibaya mno.Jina lake humu kaanzia na ( ) nalo ukitaka fanya kubadilisha pia password zako kuwa 274428 utaweza kuona jina lake asili...na picha zake..

pokea zawadi ya jina langu
 
aku mie sitaki mie kuona werembo wenzangu labda pesa ndo nitafanya hivyo
 
ukibadilisha analog in your account note that
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom