Huyu mrembo ananipenda na mimi pia nampenda, ishu imekuwepo kwenye Tunda

Panga geto, maisha yaendelee Kama kweli anakupenda atakuwa anaileta unaichapa,
 
Kwanza Ni Jambo la aibu kabisa aisee maana unakua umepoteza muda bure na amekufanya uwanja wa mazoezi wa kujaribu uongo wake kua Ni bikira kama unaeleweka au laa

Alafu wanakuwaga na nyodo hao sana, ila sijui inakuwaje mwanaume mzma unahudumia mda mrefu bila kupewa tunda nawewe unakomaa tu kama baba mzazi. Huwa wanasema hakuna kusex mpaka kuoana lakini yeye awezi sema uanze kumhudumia mkishaoana.
 
mkuu Kuna msemo unasema wajinga ndio waliwao.......siku zote ukijifanya mwema Sana baadae hukutana na majuto maana akiondoka mikononi mwako ukaja kujua Kuna jamaa anajiligia utajihesabu mzembe na kujutia Sana na kutamani upewe dakika hata Moja uonyeshe uanaume wako!!
 
Na hiyo nafasi kuipata ni kwa maumivu makali sana maana hizo dharau atakazokuonesha na kukupuuza utatamani urudshe siku nyuma. Tunda
 
Kweli mkuu Wala si jambo la kuficha maana unaweza shangaa akakuropokea mbele za watu kua Ni joka lisilong'ata maana hukua na dhara lolote kwake kwa kipindi ote ya rltn
 
Habari za mchana ndugu zangu,

Mpaka imefikia nimekuja kuomba ushauri humu, inamaana nawakubali 100% ndugu zangu, kwani hamkuwai kuniangusha hata simu moja hasa katika matatizo yangu binafsi..

Tukienda kwenye mada
Mimi ni kijana wa miaka 23 ambaye nina mpenzi ambaye amenizidi umri kidogo yeye ana miaka 25. Ni mrembo ambaye nilisoma naye chuo kimoja mkoani dodoma. Mimi na huyu mrembo tuna uhusiano wa takriban 3 years lkni hatujawai kuingiliana(sex) hata siku moja, means haijui yangu pia siijui yake, tangu tumeingia kwenye mahusiano huwa namsaidia kifedha kwenye ishu ndogondogo, n.k

Ishu yenyewe
Huyu mrembo ananipenda pia nampenda ishu imekwepo kwenye (TUNDA). yeye anakaa kwao na mm pia ninaishi kwetu, Ni mtu wa aibu kidog, kuingia gest hajawai (anaogopa anavyodai) hvyo napata wakat mgumu kwenye hili tunda. (sio kwamba namind sana ila ishu ni kwamba nina uhusiano naye kwa mda mrefu na pia baada ya kuwa naye nikaamua kutulia naye huyuhuyu hivyo nakosa mahala pa kutimizia haja zangu) nikifikiria plan za kuanza life yngu ninazo mwakani 2012 (Mungu anijalie) je ! Nitaweza ama na yy ataweza kuvumilia kwa kipindi chote hicho???? Ama ni njia gani ya kunisaidia kutimiza hili jambo

Nipo kwenye wakati mgumu.
Naona kama ntakuja kuchapiwa na mpaka sometime naweza kumkasirikia bila sababu ,nakuwa nahc tu kwamba labda nachapiwa ila ananificha. (""yeye ni bikra"" pia huniambiaga kauli hii mara nyingi). Ushauri wenu wadau, na nikimuangalia mrembo ananipenda,pia ananiheshimu kwa kiasi kikubwa

NINACHOFIKIRIA
je! Niwe na mtu wa kuwa naye kwa ajili ya kutimiza hajazangu huku nikimsubiria yeye mpaka atakapoamua kuwa tayar kwa lolote (yaani kunipa) ama nimvumilie?

N.B. Yeye anafanya kazi sehumu fulani kwa kipindi hiki ika bado yuko kwao

Mimi pia nina shughuli zangu pia bado niko kwetu.

Naombeni ushauri wenu wadau...kuhusu jinsi ya kuishi ama kwenda sambamba na huyu mwanamke...

THANKS

😂😂😂😂😂 Ndo maana unanyimwa, hata kuandika ujui utaweza panda pandisha, nina mashaka na elimu yako.
 
Uliposema unamsaidia kifedha basi naona anakuona kama mtu wa kawaida ambaye akiwa na matatizo utamsaidia. Miaka 3 mko pamoja na pia ana miaka 25 ambaye matured sasa inakuaje anaogopa kwenda guesthouse. Inawezekana yafuatayo:

1. Ametoka katika Familia ya kidini na mtiifu sana anangoja ufunge ndoa lakini utampima ukiona mapenzi yake kwako hayana intensity na always anapenda kuongea na wewe kwahiyo sex is not priority.

2. Inawezekana anakuja kwako wakati ana shida za hapa na pale na kukubembeleza na wewe ndio unampa mkwanja kila mara kwahiyo anaona aendelee tu.

3. Mtu mwingine anakula ila hayuko Tahari kukuambia maana hatopata mkwanja tena.

Inabidi kwanza uchukue sehemu yako mwenyewe halafu umpime kuangalia kama kweli anakupenda au la. Inaonesha huyu mwanamke anakuona uko dhaifu kimapenzi ndio maana amekuambia yote hayo.
 
Una plan mzuri Sana za kuanza maisha 2012 Safi Sana kiongozi

Kingine unategemea kuoa after kutoka nyumban kwenu na huyo mlimbwende wako sina uhakika lkn huenda kuna asset umewekeza na umejipanga vilivyo kuanza maisha Safi Sana

Na mna mikakati gani na huyo bibie kunako kuelekea maisha ya Ndoa na Cha mwisho kua kwanza acha wenge la kukimbilia Ndoa braza settle kwanza na uwe na foundation
 
solution ni kupanga uwe na kwako ili uwe unajilia bila tabu hapo utapata wengi zaidi ya huyo mpenzi wako na ndo utakua mda sahihi wa ku determine kama upo tayari kusettle mwaka 2012 ukifika au ni genye tu zimekuzidi.

Ha ha ha demu wake anamletea figusi kula tunda na keyboard inamletea figusi mwaka kuanza maisha.
 
Back
Top Bottom