Huyu mpezi wangu ananiambia anapenda kuwa na wanaume wawili

Dinipevu

Senior Member
Mar 15, 2011
100
31
Miezi minne iliyopita nilishindwa uvumilivu wa kuishi "singo" nikaona bora nianze mikakati yakumchumbia binti ambaye nilionana nae Ilala Boma,hapa Dar.....cha ajabu baada ya mahusiano ya wiki chache huyu binti ananiambia anamvulana anayempenda oia na mimi ananipenda,lakini nisimtolee siri kwamba yeye anapenda kufanya mapenzi na wanaume wawili kwamba huyo mwenzangu mwingine amekubali na amenionyesha mpaka " chats " zake.....halafu huyu binti msomi mzuri,hivi huu ushetani kumbe upo bongo? Am so sad.
 
Mkuuu..ushauri wanini sasa kamaa aim yako nikuoa..tafufuta mwingine oa" na kama aim yako ni mapenzi we endelea kua spear tair "tu

Hakuna wakuku laum..
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…