Dinipevu
Senior Member
- Mar 15, 2011
- 100
- 31
Miezi minne iliyopita nilishindwa uvumilivu wa kuishi "singo" nikaona bora nianze mikakati yakumchumbia binti ambaye nilionana nae Ilala Boma,hapa Dar.....cha ajabu baada ya mahusiano ya wiki chache huyu binti ananiambia anamvulana anayempenda oia na mimi ananipenda,lakini nisimtolee siri kwamba yeye anapenda kufanya mapenzi na wanaume wawili kwamba huyo mwenzangu mwingine amekubali na amenionyesha mpaka " chats " zake.....halafu huyu binti msomi mzuri,hivi huu ushetani kumbe upo bongo? Am so sad.