Huyu mpare bahiri

Huyu mpare bahiri

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Jamaa mmja asili yake ni bahiri
Na ilipokuja suala la corona kila mtu aweke ndoo ya kunawia na sabuni ya maji ya chupa, jamaa yangu kwake Kaweka sabuni ya mche tena ya magadi
Shikamooo mbagaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
20200409_172740.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna video moja ipo jamaa anazuga ananawa mara kafungua begi kasepa na sanitizer. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom