Huyu MpajiTheCounselor ni Nani?

Huyu MpajiTheCounselor ni Nani?

StudentTeacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2019
Posts
6,519
Reaction score
7,634
Namuona sana,anatrend mitandaoni si Tiktok, Facebook Instagram hadi Twitter kwa video zake. Kuna Moja hiyo ameiwekea caption ya "ZA KICHWA". Nyie hii dunia hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alafu mkuu, ebu skunyingine usianze kucheka wakati wengine hatujui unacheka nini....
Kwanza hiyo clip ikwapi...🤔 maana huyo mpaji mwenyewe hatumjui huku Shirati Rorya ukipitia Kogaja, Maomao na Songambele
 
Kwanza hiyo clip ikwapi...[emoji848] maana huyo mpaji mwenyewe hatumjui huku Shirati Rorya ukipitia Kogaja, Maomao na Songambele
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Msubiri huko huko
 
Alafu mkuu, ebu skunyingine usianze kucheka wakati wengine hatujui unacheka nini....
Kwanza hiyo clip ikwapi...🤔 maana huyo mpaji mwenyewe hatumjui huku Shirati Rorya ukipitia Kogaja, Maomao na Songambele
Nisalimie ingrijuu na utegi
 
Back
Top Bottom