Hawa si wamaasai ni watu wa karamajong mpakani mwa Uganda na Sudan wanajua sana kucheza na bunduki hasa K47 na LMG WANAUWEZA WA KUPIGA CHUNGU KILICHOWEKWA KICHWANI KWA MTU KUAZIA KIJANA MDOGO WA UMRI WA MIAKA 12 Bastola zote wanaona silaha za kuwindia ndege tu hizo nilizotaja wanatumia kwenda nazo kuchunga ng'ombe, familia masikini ndio wanakuwa silaha unazoona ktk picha