Huyu mkimbiza mwenge ana mamlaka kubwa kiasi hiki!?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
Nataka nijue kiongozi wa mbio za mwenge hua anapatikana kutoka kada ipi! Maana nimemsikia akitoa maagizo kana kwamba nae ni kiongozi wa umma wa ngazi ya juu sana! Je ni mchakato gani hutumika kumpata!?
 
Mwenge ni ziara ya rais,na ndo maana kwa kila Halmashauri mwenge huhitimisha ziara yake kwa kusoma heshima ya utii kwa mh. Rais.
 
Swali lake linataka majibu,na sio matusi na kejeli. Kama una majibu tofauti na sahihi weka humu ndani. Vinginevyo kubaliana na Mimi.
 
Nataka nijue kiongozi wa mbio za mwenge hua anapatikana kutoka kada ipi! Maana nimemsikia akitoa maagizo kana kwamba nae ni kiongozi wa umma wa ngazi ya juu sana! Je ni mchakato gani hutumika kumpata!?
Mkuu mimi sijui lolote lile ila mimi nadhani kila mwenge unapozunguka ndio watz tunazid kuwa mazuzu
 
Kwa mkimbiza mwenge sijajua vigezo na taratibu zinazofanyika kumpata huyo mtu but nimeona mara nyingi udungu upo katka hili, kama 2012 alikuwa Capt. Wa jwtz na alikiwa mtoto wa kigogo fluni,, hii Issue malipo yake ni manono mno so kwa mtoto mlala hoi kupata hili shavu ni shida,, pia anakuwa na madalaka kias hicho kwani ripot yake ya mwisho anapeleka moja kwa moja kwa rais na ndo maana unaona wakuu wa mikoa na wilaya wanamjali sana jamaa katika maradhi na kila kitu, Ingawa ana posho zake
 
Back
Top Bottom