Huyu mke wa mtu ananisumbua sana Sijui nifanyaje ili niepuke mtego huu

Solar pro

Member
Jan 30, 2021
56
187
Kuna manzi Tumepanga nyumba moja lakini yeye ni mke wa mtu. Mume wake ana wake watatu Jamaa analala kwa zamu zamu kila mke wake anampitia mara mbili kwa wiki.

Sasa huyu manzi ananizalimisha sana nimle Nyapu kila siku usiku ananitafuta anasema Aje gheto kwangu maana mimi sijaoa nimekataa sana sasa nataka nihame mtaaa isije akanipa matatizo bure.

Na anasema nimuoe mimi kama nipo tayari aanze mchakato wa kudai talaka kwa mme wake kweli Jamani mwanawake sio wa kumwamini.
 
Back
Top Bottom