jah bless xon
Senior Member
- Apr 4, 2019
- 145
- 314
Kuwa mke ni heshima hatujui tuSasa wee mbona unakuwa na unrealistic expectations....yaani mwanamke utombagee weye peke tuu🤣🤣🤣🤣
Sasa huna cha kushauri kivipi tena mrembo? Wenye ndoa zao kwani wee mrembo hujaolewa?Kuwa mke ni heshima hatujui tu
Maanayake mtu kaweka rehani maishayake mwanamke akiwa mbaya anaweza kukuharibia kilakitu akikuroga haukwepi akiamua akuue ni dakika sabbu upo nae ndani Akiamua uwe mwanaume wa ovyo ni dakika tu maisha yanakubadilikia hivo kuwa na wasiwas juu ya maishayake sidhani km ni tatizo
Japo Sina Cha kumshauri wenye ndoa zao waje wazungumze
Wewe unamatatizo ya akili na inaonyesha unapenda kum-control mkeo kama remote. Haiwezekani vitu vya miaka 10 nyuma uvibebe leo na hapo umetoka kulala na rafiki yake.Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.
Umenikumbusha bwana nilikuwa na mdigo wangu yaani tulikubaliana kabisa we just sexmates, loh siku ya siku nikaja gundua amegegedwa duh siku hiyo sikulala mzeya maana nawaza haya mauno ya kidigo jamaa nae anapewa...iliuma sana jamani acheni tuuPole sana, Wanaume tunapitia maumivu mengi sana. Hakuna kitu kizito kama kuchapiwa.
Huyu mwanamke usema kweli nilikakuta bikra..ndiyo kalikuwa mwaka wa kwanza chuo...kinachoniuma nikutombewa nikiwa nae ndani..na mwaka wa mwisho ni mimi nilimlipia ada..baada ya mimba ya mtoto wakwanza kukua na wazazi wake kujua..kifupi tuu naweza kukuita wewe hamnazo tena bado unahitaji kukua haya umemtomba rafiki yake na wewe ulimwambia hilo?
kwani kabla hujaanza kuishi nae alikwambia yeye bikra? unaoa mwanamke halafu unaanza kuuliza wanaume walio mtia kabla yako ili umatafutie sababu we jamaa uko sawa kweli?
wewe mwanamke usha ishi nae miaka 10 na watoto mmezaa halafu bado unasema sio mkeo? kweli aliye leta dini ndiye aliye ongeza dhambi duniani.
Wewe ni mpumbavu sana. Kwanza kuuliza mambo yaliyopita kabla hujawa na huyo mwanamke (after living with her for 11 years) ulikuwa unatafuta nini?Nina mke wangu tunaishi wote mwaka wa kumi na moja Sasa (hatujafunga ndoa lakini,kwasababu zangu maalumu)huyu binti nilifahamiana nae akiwa chuo cha ushirika Moshi.tuna watoto watatu..Sasa mwaka juzi kuna rafiki yake nlikutana nae nje ya mkoa tunaoishi,kama zali tu.tukapiga story mbili tatu vinywaji vya hapa na pale..mara nikaanza kumdadisi kuhusu rafiki yake.(ambae ni mke wangu)Shemu akafunguka..akanitajia wanaume ambao mke wangu alishatembea nae..me nikafanya kama simind hivi,ili aendelee kushusha maelezo..nikamezea..nikakatisha story.tukaendelea na story zingine..hapo hapo nikachomekea na mm nikaenda kumpiga shooo..(ila siyo dhumuni la mada hii.kula tunda kimasihara)nilivyorudi home nikamkalisha wife chini,nikamuuliza kumbe ulishatembea na flani na flani?akakata kaata lakini mwisho wa siku akakubali..nakamwambia kama unataka nikusamehe,niambie watu wote ambao umeshatembea nao..duuu..alinitajia zaidi ya wanaume tisa hivi. Mpaka wengine ni Rafiki zangu,wengine wanaishi mtaani kabisa..ila anasema ni miaka miwili mitatu nyuma..haya mazungumzo ni miaka mitatu iliyo pita lakini..na hicho ndicho kinanifanya nishindwe kurudi nae kundini..nikifikiria ndani ya miaka sita saba mwanaume najidai kidume,namwamini mke wangu kumbe keshatembea na watu wote hao..na ukimwona nikapole kweli..kabila ni machame..Sasa naombeni ushauri huyu mwanamke mzazi mwenzangu anafaa kuendelea kuishi nae nakurudi nae kundini ili tukae vizuri kwenye dini...kwamm nafikiri nisubiri watoto wakue(wako primary wote)then Kila mtu aendelee na hamsini zake..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndo tu...nikifikiria huyu mwanamke ni nyoka..watu wote hao sikujuaga hata mmoja?? naombeni ushauri wakuu.