Huyu mkaka jamani lol

huyu ni wa ushii romo looh mwenake Mentor marangu mtoni hawa ni wamoja nimeshawastukia na mambo yao huwa yanafatana, ukimuona Mentor ujue @watu8 yuko pembeni.

Mmmh!!! ya kweli hayo?

Halafu naona umeirudisha tena ile makitu...this time iache hapo hapo
 
Mmmh!!! ya kweli hayo?

Halafu naona umeirudisha tena ile makitu...this time iache hapo hapo
Mentor ndo alininong'oneza kuwa wewe ni wa ushii rombo na yeye ni wa marangu mtoni sasa kama kakupakazia mshike shati mwenyewe si huyo hapo.
Afuu ukianza tuu kuizungumzia huwa inayeyuka last time nilikodolewa macho hadi nikaona aibu nikatoa, this tyme lauryn hill wangu kachukuliwa na mtu mwingine sjui anaitwa venance sijui vanessa kasema yeye anaipenda zaidi. Sasa Dark City ndo alinistua nyie mbona mnatumia id sawa ikabidi nitafute weee nimeishia hapo au kama vipi niweke hiyo ya kwako tuwe na avatar saresare ya watu8? waniruhusu?
 
Last edited by a moderator:
Wewe, sakapal, Karucee na King'asti ni kama mnaendana vile kwa mistori yenu inayovutia...

Umemsahau Kongosho...

Hehehe...mi simoooo

Shhhhhh....:tape:

huyu ni wa ushii romo looh mwenake Mentor marangu mtoni hawa ni wamoja nimeshawastukia na mambo yao huwa yanafatana, ukimuona Mentor ujue [B watu8[/B] yuko pembeni.

Mbona watu8 ni shem wangu!?? Yaani yeye kamchukua dada yangu, na mimi nitamuoa dada yake soon!!!😎

Mentali upoo?? longi aisee wacha nikapate ganja kwanza nikirudi ntakuja tufanye ule mzunguko wa feri kisha twende morocco
sakapal, nilikuwa nalo la ukweli kutoka kwa al-shabaab wa Paloma (did u know she puffs too!??) sema ndo ishu za westgate zilimkimbiza nchini sijui kenda wapi tena!!!
 
Last edited by a moderator:

daaahh nirushie mwanaa hapastimu zishapandaa bange nibangue niache bange maana mentali anataka kunipoteza al shaabaab tena? mmmmhhhhh
 
Hehehe...mi simoooo

daaah umenikumbusha mentali aliniambia mimi ni daladala ya kivukoni nikageuzie feri sasa wacha nikapate ganja nirudii bora umenikumbusha senkyu vere machee
 
Hmmmm.Mara tujikute we are messing with the same boy.

hahahaaaaa haiwezekani aisee, wa kwangu yuko mjengoni mji ulio katikati ya nchi pia soul mate wangu hana wengi ni mie tuu na (mama e....)
Ikiwa tunashare same boy daah watakuwa mapacha bana hata sitaki kuamini looh
 

Kama ushajua tabia yake haifai Mungu akupe nini tena? Ilopo kula hamsini zako usijetendwa kama wenzako maana wenzio hawabaatiki kumjua mtu kiivo kabla ya mahusiano
 
Nilikuwaga nafagilia ka kitambi na kishkaji not any more. Ee bwana hao wanao jog asubuhi mie lazima I honk and blow them a kiss.

hahahahaaaa kweli umedata hahahaaaaa
mie nikikutana nao asubuhi huwa najidai nimedondosha pochi au novel bahati mbaya basi ile service ya kuokotewa aaahhh bichwa linakuwa kubwa kuliko gari na kisha ananishika bega baada ya kuniokotea vitu vyangu na kuniambia take care basi daahhh tabasamu tuu.....
 
Jamani na uzee wangu huu nataka nianze mazoezi nitengeneze six pack maana naona hii kitu ndio dili la wadada wa mujini!
Hilo tumbo lake umelionaje wewe mtoto wa kike hadi ukajua limegawanyika mara sita???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…