Ni kawaida yetu sisi wahehe kuwaita nyie Wagoni! Sisi kama wahehe hatujawahi kuwaamini kabisa hawa watani zetu kwenye masuala ya mapenzi. Yaani mngoni, mkabidhi pesa zote unazoweza, asilimia za kuzifikisha salama ni zaidi ya 90. Lakini ukikosea tu ukamwachia mke hata ndani ya saa moja, uwezekano wa kukuta jamaa hajamtokea ni chini ya asilimia moja, bila kujali mke wako ni mzuri or not. Jamaa wanapenda wake za watu hawa usiseme. Ndiyo maana sisi huwa tunarahisisha badala ya kuwaita wangoni, tunawaita wagoni, hahahaa! Ila makabila mengine msituige wahehe, maana sisi na wangoni tunajuana kwa vilemba.