Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,248
- 4,671
Acha basi we una mla huyooo ahDandabetsí mdudu mtamu sana huyo, ana protein za kutosha
Hana mbawa ila kavimba nyumba mweusi tiiKama wana mabawa ni "mavu" wale wakikung'ata unapta ladha ile ile kama ya nyuki na uvimbe juu.
Ah ushawai kumlaMdudu mafutaa, analiwa huyo
Tulikuwa tunawaita 'matini' na mara nyingi wanapatikana kwenye vichuguu japo hao kwenye picha naona kama wakubwa. Tumewala sana enzi hizo, hao ulioweka umewakuta kwenye kichuguu?Sawa boss nashkuru kwa jibu lako
Kabila gani hilooDuduk'we
Hapana hawa nimewakuta kwenye mawe ya dodoma kwenye kichaka...Tulikuwa tunawaita 'matini' na mara nyingi wanapatikana kwenye vichuguu japo hao kwenye picha naona kama wakubwa. Tumewala sana enzi hizo, hao ulioweka umewakuta kwenye kichuguu?
Basi sie!Hana mbawa ila kavimba nyumba mweusi tii
Nimeandika kitimoto mpendwa .si umetaka kujua huku kwetu tunamuitajeKwamba huyo nguruwe au
Unanishawishi niwe nawatafuta huku kwa uhudi na uvumbaWanaitwa kivunde wakikaangwa kwa mafuta halafu upate ugali wa mhogo na kachumbari safi kila siku utawatafuta
NdioAh ushawai kumla
Nyengele maguta huyo mwenye zegembe la brown na kweli wanaliwa.Mdudu mafutaa, analiwa huyo
Aliye mshika si mm n rafiki yangu...ambaye. anasema kwao wanawaita "nenne" yeye n mnyiramba aliniambia kuwa kwao wanawala...ndo mana nikauliza je kwen wanaitwajNyengele maguta huyo mwenye zegembe la brown na kweli wanaliwa.
Lakini huyo black beuty simuelewi, yawezekana ikawa dume ama jike lake.
Halafu nadhani mleta mada anawajua vizuri tu na anawagonga!
Watu wanavyoogopaga wadudu'ivoo, yaani awakamate na awakumbatie kabisa!
Huyu anataka kutuchezea akili.
Exactly hao n balaa watotm wa dar es salaam tunawaita siafu askali...ni tofaut na huyuYanaitwa mang’eng’e yapo na body kubw hiv kw nyuma watu wanakula yanavotok chin kunawadudu wadg km siafu iv wakikubite unawez jikuna hadi uvimbe
Duh mkuu umenikumbusha mbali sana sisi kwetu huko ruvuma tunawaita mageke wanapatikana kwenye vichuguu ila wanang'ata mpk damuYanaitwa mang’eng’e yapo na body kubw hiv kw nyuma watu wanakula yanavotok chin kunawadudu wadg km siafu iv wakikubite unawez jikuna hadi uvimbe