Huyu mdau simwelewi kabisa

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,792
9,079
Kuna mdau kanambia kua "kitunguu ndio tunda pekee linalo mliza binadamu"
nimemtupia boga la uso saizi analia.. Au boga siyo Tunda jamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom