Hapa viroba vitakuwa vimetumika kwa 100%Et Jamaa yetu kafariki ghafla Kwa kuumwa ghafla,leo asubuhi anakuja kwangu machozi,kilio balaa!Anasema "Bora ningemkubalia Kelvin nikampa alichokuwa anataka,Yani Kaenda?"
Sasa mie nimemshangaa kwanini aone umuhimu baada ya mshikaji kutangulia mbele ya haki?Wadada tambueni tunaishi mara moja,jeuri ya kudengua na haya maumbile yetu ni ya muda mfupi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi wanapima vitotHapa viroba vitakuwa vimetumika kwa 100%
Sent by Diaspora
Kwa hiyo angempa ndo asingeenda? MILEMBE INAWAHUSU WENGIEt Jamaa yetu kafariki ghafla Kwa kuumwa ghafla,leo asubuhi anakuja kwangu machozi,kilio balaa!Anasema "Bora ningemkubalia Kelvin nikampa alichokuwa anataka,Yani Kaenda?"
Sasa mie nimemshangaa kwanini aone umuhimu baada ya mshikaji kutangulia mbele ya haki?Wadada tambueni tunaishi mara moja,jeuri ya kudengua na haya maumbile yetu ni ya muda mfupi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu wewe nisharudi mjini!!Mbembeleze, Muambie akupe wewe kwa niaba ya marehemu.
SHUUBAAMIT!!!!
Ahahahahahaahahaaa..... Yaani JF acha tu...Tena bora hakumpa, na alivyofariki angebaki na mawazo sana kujiuliza nini kimemuua
Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Hii nchi bhanaEt Jamaa yetu kafariki ghafla Kwa kuumwa ghafla,leo asubuhi anakuja kwangu machozi,kilio balaa!Anasema "Bora ningemkubalia Kelvin nikampa alichokuwa anataka,Yani Kaenda?"
Sasa mie nimemshangaa kwanini aone umuhimu baada ya mshikaji kutangulia mbele ya haki?Wadada tambueni tunaishi mara moja,jeuri ya kudengua na haya maumbile yetu ni ya muda mfupi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhhh....Mbembeleze, Muambie akupe wewe kwa niaba ya marehemu.
SHUUBAAMIT!!!!
Atakua sio mzima au ana lake jambo.
kwenda hukoooooEt Jamaa yetu kafariki ghafla Kwa kuumwa ghafla,leo asubuhi anakuja kwangu machozi,kilio balaa!Anasema "Bora ningemkubalia Kelvin nikampa alichokuwa anataka,Yani Kaenda?"