Huyu mdada vipi amenielewa au vipi

Huyu mdada vipi amenielewa au vipi

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,190
Reaction score
5,061
wakuu habari za siku
#NoReformsNoElection

Kuna mdada mmoja nilikuwa namfukuzia sana lakini ni kama vile alikuwa hanielewi nikaamua kuachana na hilo swala tukiwa tunakutana nampa hi tu kisha nasepa lakini pia kazi zangu baadhi nilikuwa naenda fanyia ofisini kwake stationary

Sa umepita muda kama mwezi hivi nikawa sjapata kazi ya kunipeleka pale ofisini kwake nikawa namuona tu whatsapp ana view status zangu basi

Leo nilipata kazi ya kunipeleka pale ofisini kwake nikamsalimia na nikamwambia nimekukumbuka sn akauliza kweli nikamwambia ndiyo akauliza kwann nikamwambia nakupenda

Akajibu alitamani sana kunitumia ujumbe wa kunikumbuka na kunisabahi lakini akaogopa kwamba naweza kuwa nipo na mke wangu ikawa soo nikamwambia hapana hatuishi hivyo mi mke wangu hanaga hzo mambo yuko huru na simu yake nami nipo huru so akitaka nisalimia ni yeye tu basi akatabasamu na akasema basi atakuwa ananicheck akinimiss
sa wakati nipo busy na kazi yangu akawa ananicheck jicho fulani hivi la kunivizia la chini chini

sa wadau wa code nambieni huyu mtoto kaanza elewa pigo nijitose tena au nikaushe tu 🤔
 
Kwa nini unapost status?

Wewe ni mume wa mtu unatongoza miezi? Umekuwa mvulana?

Karne hii unapata wapi ujasiri wa kumuambia mtu unampenda ? Pita shortcut!

Tutapata reforms kweli kwa hali hii ?
 
Back
Top Bottom