Huyu mdada nimueleweje?

Hakutaki ila anaona shida kukuchana live hujui kusoma ishara hata picha huoni wewe!Hivo vingine anavyokuangalia sijui nini ni wewe unavyochukulia na kujiaminisha katika kichwa chako!
 
Hahahahah utaskia tu “Bryan sikuhizi unaringaaa sio kwa kunchunia huko” akigusia mambo ya mbususu tu imeisha hio 😅😅😅
 
Ahsante dada hv huyu mdada atakuwa na shida gani
Hana shida wewe ndo mwenye shida mdogo wangu,

siku nyingine badilisha mtindo wa utongozaji, ukishapewa namba,anza kujenga mazoea kwanza,

jenga urafiki mpigie simu msalimie bila kumtongonza,mtumie sms mjulie hali,kadri mnavyozoeana omba appointment umtoe hata lunch,lunch ya kwanza usimtongonze[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] utamwambiaga kama unampenda mbele huko,na hata ukimwambia usitake akupe jibu,we mwambie tu unampenda basi atajua mwenyewe
 
Hawezi kukumbia hakutaki anakupigia mahesabu unamuhitaji kiasi gani akupige mzinga kulingana kiasi unachomthamini then ukimpa aangalie jinsi ya kuendelea kukupiga hadi ukome kumfuatilia.[emoji23]
Duuh..mbona unanitisha kaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna manzi na mimi nilikua namuimba juzi kati, aligoma kutoa majibu kama wiki mbili kabisa.

But demu anadate na mme wa mtu na linapesa mbaya.

HAaaaaaa nimepiga chini mtu hana hata msimamo
🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka mkuu
 
Hakutaki ila anaona shida kukuchana live hujui kusoma ishara hata picha huoni wewe!Hivo vingine anavyokuangalia sijui nini ni wewe unavyochukulia na kujiaminisha katika kichwa chako!
Akifosi fosi simu zitapokelewa ila zikiambata na vibomu vya kurusha kwa mkono 😅😅😅 yani kila simu ikipokelewa ni mzinga hadi dogo atakimbia mwenyewe
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…