ni siku ya ngapi????????????
ndio mana kauliza kumbe cku zote ulikua umelegeza kamba tu sasa unaibuka gafla utafikiri volkano na kuanza mavituz lazima mwenz wako ashtuke munoooooooooo
ingekua mm nakupa kosovo mpaka umtaje kungwi wako cku hiyo kulalaleki
Msani umejua kunichekesha, tn na mm hilo neno nalog off nusura niliige. Lkn mm nngekua nalog off kweli si km Washawasha. Aminata malizia sentensi yako, kataka kuonja nn!?
Msani umejua kunichekesha, tn na mm hilo neno nalog off nusura niliige. Lkn mm nngekua nalog off kweli si km Washawasha. Aminata malizia sentensi yako, kataka kuonja nn!?
nimemwonyesha mapenzi eti ananiita mhuni ..wakati kayataka mwenyewe ..anadai kuna mtu kanifundisha ..eti nilikuwa na mademu wengi ..eti ninapenda mademu ...
kisa nimemuonyesha mapenzi...asingeonyeshwa angelalamika kuwa mimi ni mlugaluga.............