Huyu mdada mbona hasomeki?

nimemwonyesha mapenzi eti ananiita mhuni ..wakati kayataka mwenyewe ..anadai kuna mtu kanifundisha ..eti nilikuwa na mademu wengi ..eti ninapenda mademu ...
kisa nimemuonyesha mapenzi...asingeonyeshwa angelalamika kuwa mimi ni mlugaluga.............
...Alipaswa kuwa na shukurani that you went an extra mile to try to please her! hata kama zamani ulikuwa hufanyi unayofanya , kwake ni kushukuru kuwa mzee unaumiza kichwa kuleta mambo mapya kwenye 6x6. Mi nakushauri kwa kuwa umeshamjulia basi maintain game lako...ukibweteka hawakawii kutoka na kijana anayepitisha samaki wabichi au wale wanaotembea na vikapu wanapaka rangi za kucha!
 
asiulize kwann loh! mtu mwaka mzima ulikua kilaza gafla leo umeibuka utafikiri we kungwi wa kiume loh! lazima mtu akuulize vp leo
ni sawa na mtu mkewe kila cku gogo gafla cku unamkuta na shanga na anakupa mambo ka kungwi lazima umulize tena na kipondo juu nani kakufundisha so hamuezi jua SI alikuaje na gafla akawaje tena
 
..kuna jamaa yangu mmoja alisema yeye akikuta demu wake ana shanga na hapo kabla hakuwa nayo siulizi as long as nazidi kufaidi! I have attained sexual revolution! Binafsi sifungwi tena na mambo kama wivu,mwanamke ni mali yamtu mmoja, nk...kwangu sex ni suala la kupeana tu na kufurahisha mwili. Dhana ya sexual revolution inaeleweka vizuri na baadhi ya makabila hapa nchini (siwataji hapa wasije wakanijia juu).....
 
Back
Top Bottom