Huyu mdada ananiweka sana...

hataki kuguswa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hataki kuguswa hapo kwako ni photo studio ama?

Hebu acha kumuendekeza man pigania haki yako ya kula mchebwede au hujamtongoza bado? Ukute unamuita geto kama shosti wako af unakuja tusumbua watu wazima hapa.

Tell her that you can not keep up with her bullshit yani asione kama ishu sana kupendwa ndio achukulie baridi baridi. Usipokee wala kumpigia simu kwa week nzima. Hata kama hakupendi ila pia hela zako na bata atazimiss na lazima atalegeza masharti tu.

Akitaka kujua sababu ya kumlia ubuyu hapo ndio penye kipengele cha kumtafunia. Usifanye makosa ya 2015 kabisa yani kaza mpaka uhakikishe ki just becoz kimerushiwa juu ya feni...mengine jiongeze!
 
Mr. Pesa ipo, je wazazi wako unawapa pesa hizo? Angalia kijana wazazi ndio kila kitu katika dunia hii, watunze upate baraka na kheir nyingi duniani.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
yeye anasema ananipenda nimpe mda kidogo tatizo mm nna haraka na mambo ya kuvumilia siwezi, sema hela nakata sitoi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kumma juzi nimempa shit, mambo yake ya kishoga kama hayo. Demu ambaye anajali maslahi yake tu yawe mapana yangu yawe yamekonda hafai. Ni kumpa live tu kama vipi apige zake bunda tu, kwani kitu gani bana.

Mwanaume lazma uwe mtu wa mikazo.
 
Kuna kumma juzi nimempa shit, mambo yake ya kishoga kama hayo. Demu ambaye anajali maslahi yake tu yawe mapana yangu yawe yamekonda hafai. Ni kumpa live tu kama vipi apige zake bunda tu, kwani kitu gani bana.

Mwanaume lazma uwe mtu wa mikazo.

Acha amkenulie na bado anamlipa bila kupewa huduma yeyote, mwanamke wa hvyo sio wa kumhudumia yani anafika hadi geto alafu bado jamaa anapinduliwa na hela anatoa. Kuna hali ya kawaida kweli au ndio keshapewa limbwata


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi chuo mnarudi lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusoma hujui na picha huoni?
Anakuja kukupikia na kukufulia nguo na chupi anakutuma. Ila bado huelewi!? Unahisi ni beki 3 wako ama?
Bro wewe ni kilaza, na bora tu asikujibu.
Majibu mengine sio mpaka uambiwe ndio, ni vitendo tu unaelewa.
 
Form six umemaliza 2018 jkt umeingia 2018 tena mujibu dah ww bado chalii sana aisee

121.
 
Mm dalasa la saba nimemaliza 1997 kama ningeendela na shule form six ningemaliza 2004 [emoji2][emoji2][emoji2]cjui ww ungekuwa na miaka mingapia apo...ila any way mpige mashine uyo dem vijana wa sikuizi mnakwama wapi ivi ww jkt ukufundishwa ujanja polini UP...ILI somo ukulielewa vzr eeeh...

121.
 
1997, ndo nmezariwa mwezi X, huyu dem kazariwa 1999

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kwenda JKT bado akili yako imelala sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…