unafikiri na wewe ukiombewa utakuwa mheshimiwa?
Pale upako unapozidi n lazima ulie mkuuKumbe nayeye huwa analia...
kwema bashite!!!👋👋👋Tukuulize wewe uliyepiga picha,halafu mkome kuwa unafuatilia maisha ya watu,ebbo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukuulize wewe uliyepiga picha,halafu mkome kuwa unafuatilia maisha ya watu,ebbo!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu mchungaji aliyekuwa anaombea huyu mheshimiwa ni noma yaani natamani nimfaham kwakweli ili siku moja nikiwa na tatizo nimuone na mimi anifanyie huduma!
Mwenye kumfaham huyu mchungaji naomba anijuze
View attachment 1415516
Sent using Jamii Forums mobile app