05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,644
* tuliambiwa tu some SAYANSI tukakataa.
Jamaa amekaa siti ya mbele kabisa na mchumba ake pale ibadani.... pastor anaendelea na mahubiri. .
Ghafla pastor kamnyoshea kidole Shemeji angu (yule Binti)... AKasema "BINTI... MUNGU AMEKUBARIKI ... UTAOLEWA NA ENGINEER"
Watu wanashangilia ... Ali Lili Lili liiiiiii....
Sema Amina ?????
Binti: AMINA .
Mchungaji: sema Amina na imekuaaaa ushangilie kwa nguvu.
Binti: anasema Amina ananyanyuka kushangilia.
Mama ake na Binti anaenda mbele ana mtunza mchungaji pesa mingi Sana.
#Basi jama amegoma kusali mpaka leo imepita myezi motano hajakanyaga church na hataki kusikia habari za wachungaji
🤣🤣🤣🤣