Huyu mchumba wangu simuelewi

ungekuwa na muda ningekushauri uende library ukasome poetry mmoja inaitwa Summons, ambapo ndani yake utakutana na poem mmoja iliyoandikwa na Isaac Mruma, inaitwa You are Lost,

naamini utafunguka mawazo.

FB ungenieleza japo kidogo huyo mshairi ansemaje?

habari jf!nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!nipo njia panda ...nawakilisha!
njia panda ya himo!!! Ako kademu ka mizinga shemeji!!

Nipo nipo mjini namudu mahitaji yangu muhimu. Nae anatarajia kutafuta kazi. Japo sio zaidi. Pia kimitazamo nafikiri sote tunahitajiana. Linalonikosesha raha hilo la kutonipa go ahead kufunga ndoa sasa! Ati anambia yeye hana wazo la kuolewa sasa!
A- hadi apate kazi?
B- tupo wachumba zaidi ya mmoja?
C- ana nijaribu?

My take!
Nami naanza kumchoka maana yale mapenzi niliokua nayo kwake yanazidi kupungua kila siku!
Ndio maana naona isije kua shaytwan amenipanda naanza kumchukia!
Ina maana siku hizi dini ya ALLAH inafundisha uzinzi? ni kwa nini unafanya zinaa kabla ya ndoa?

Mkuu,sio kwamba anakuchuna kisha baadae asepe? nonino vipi kama kawa?

mwelewe to kwa kauli yake.....kwa sababu kauli zetu ndizo zonazotuhalalisha na kauli hizohizo ndizo hutuhukumu...............kama wewe huna subira angazaangaza.....utapata mwingine.....................kama una subira basi msubiri mpaka undani wake atakapokueleza..........

Punguza masharti, kama unamlazimisha afuate ulokole wako mia kwa mia au dini yako, basi siku hizi watu wako mguu mmoja ndani mwingine nje kwenye mambo hayo. Mpe uhuru kidogo wa kujieleza uone atakavyokuwa mwenyewe.

Ina maana siku hizi dini ya ALLAH inafundisha uzinzi? ni kwa nini unafanya zinaa kabla ya ndoa?
Ningekua namzini nisingekua namlaumu! Nahitaji ndoa kutokana na mafundisho ya dini/iman yetu.

mwelewe to kwa kauli yake.....kwa sababu kauli zetu ndizo zonazotuhalalisha na kauli hizohizo ndizo hutuhukumu...............kama wewe huna subira angazaangaza.....utapata mwingine.....................kama una subira basi msubiri mpaka undani wake atakapokueleza..........
Namuelewa kwani sasa kuna jambo anasubiri lifanikiwe...ila halina hakika litachukua mda gani? Ngoja nijarib kufuata huu ushaur wako.
Ahsante R.

Habari JF!nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.Lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.Naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!Nipo njia panda ...Nawakilisha!
tulia na mpenzi wako anakupenda.mia

mkwe wa kambo,una mning'inio eeh? sasa mwenzio anazungushwa kufunga ndoa, angekua wife wake angeteka kufunga nae ndoa?

mkwe humu kuna vioja, kuna siku alikuja kusema ana hofu watoto wake wamejiunga jf. Kumbe mama yao bado hajaolewa! Mmh!

mkwe humu kuna vioja, kuna siku alikuja kusema ana hofu watoto wake wamejiunga jf. Kumbe mama yao bado hajaolewa! Mmh!
Nahisi utakua Mod wa hili jukwaa!
Mda mwingine hua third part!

Achana nae

Usithubutu muacha huyo DADA.. anajua nin maana ya ndoa na ndio maana hakurupuki.. Na angalia sana wanawake weng wanaolazimisha kuolewa ua wanamatatizo fulani.. Ushauri usimwache.. Ombi ukimwacha tuletee contact zake humu

Mkuu huyo anachukua chake mapema then ni cku utackia kaolewa na mtu mwingine na mtakua mpo kwenye mizani ka watatu hivi anapima mwenye nazo ndo amwoe

Fanya mimbalization utakuwa umemkata ngebe zote.hawa watu saa nyingine huwa wakosa maamuzi kwa v2 vdgo mpaka wasukumwe.kama una uhakika hakuchiti gonga mhuri wa kudumu,mwenyewe atakufuata hata kama upo mkoa.

Back
Top Bottom