Huyu mchumba wangu nimfanyeje?

Huyu mchumba wangu nimfanyeje?

Kwani status yake ya whatx app inaxemaje? Maana siku hizi kuna namna nyingi za kufikisha ujumbe.
 
We jamaa unafaa ufanywe ajabu la kwanza la dunia. Maana hii inashangaza kuliko hata Ngorongoro crater
 
Mkuu mtoto sio wako.
Waachie wanaojua kupanda mbegu wakapalilia shamba, alafu wakavuna.
 
Wajinga ndio waliwao

Achana na huyo mwanamke kwani atakuficha mengi, usimuoe hafai.
 
Mimba bila ya mabadiliko ya kimwili hii mpya
 
Sio kosa lako siku hizi kina Dada pia wana vitambi kwa hiyo kugundua labda uwe mtaalam.

Cha kufanya piga kimnya uone mwisho wake utakuaje maana inaweza kuwa haikuhusu ww ukajitwisha
 
Acha ubwege mimba miez tisa usijue mkeo ana mimba ata kama utakutana nae kwa mwez Mara moja huon tumbo Au Ulikua unapewa papuchii hadi miez tisa
 
Pole na kz wanajamvi, Nina mchumba wangu nmekuwa nae ktk mahusiano kpnd cha miaka mitatu sasa, chakushangaza kajifungua mtoto juzjuz, na hakuwahi kunambia kma anaujauzito wangu. Na alipojifungua hajanambia mpaka xaxa, hata cm hapokei lkn nkihesabu cku nlizokutana nae ktk tendo letu, naona ndo zenyewe! Naombeni ushauri nifanyeje nngali bado nampenda?By
Kilowoko de don.
Dah! Hahahahaa! Kizaz cha kukulia midoli kina kazi sana
 
Pole na kz wanajamvi, Nina mchumba wangu nmekuwa nae ktk mahusiano kpnd cha miaka mitatu sasa, chakushangaza kajifungua mtoto juzjuz, na hakuwahi kunambia kma anaujauzito wangu. Na alipojifungua hajanambia mpaka xaxa, hata cm hapokei lkn nkihesabu cku nlizokutana nae ktk tendo letu, naona ndo zenyewe! Naombeni ushauri nifanyeje nngali bado nampenda?By
Kilowoko de don.

na hakuwahi kunambia kma anaujauzito wangu🙁🙁🙁🙁.i
 
kwa huo uandishi kuona haujafikia kuitwa baba,
kwa kuwa na wewe bado mtoto akaona bora tu ajiongeze.
 
Back
Top Bottom