Huyu mchumba wangu nimfanyeje?

Huyu mchumba wangu nimfanyeje?

Pole na kz wanajamvi, Nina mchumba wangu nmekuwa nae ktk mahusiano kpnd cha miaka mitatu sasa, chakushangaza kajifungua mtoto juzjuz, na hakuwahi kunambia kma anaujauzito wangu. Na alipojifungua hajanambia mpaka xaxa, hata cm hapokei lkn nkihesabu cku nlizokutana nae ktk tendo letu, naona ndo zenyewe! Naombeni ushauri nifanyeje nngali bado nampenda?By
Kilowoko de don.
*DNA* Itahusika hapo miaka 3 we ungemtia mimba Mapemaa kama unaona kuoa unachelewa
 
Mmh wewe ulikua mchepuko mwenyewe yupo na ndiye huyo kapelekewa mtoto!!shukuru Mungu miaka yote hiyo hujadakwa 😀😀😀
 
Pole na kz wanajamvi, Nina mchumba wangu nmekuwa nae ktk mahusiano kpnd cha miaka mitatu sasa, chakushangaza kajifungua mtoto juzjuz, na hakuwahi kunambia kma anaujauzito wangu. Na alipojifungua hajanambia mpaka xaxa, hata cm hapokei lkn nkihesabu cku nlizokutana nae ktk tendo letu, naona ndo zenyewe! Naombeni ushauri nifanyeje nngali bado nampenda?By
Kilowoko de don.
Mkuu huyo mwenzako sio mwaminifu na huenda hiyo mimba ilikuwa sio yako kbs.
Mwanamke anayekupenda na kukujali angekuwa mwanzon kbs kbla ya mimba kujitokeza kuwa hazioni siku zake, angekuwa anakutaarifu kila hatua.
Hapo hauna mke hata huyo mtoto sio wao wala usijiumize kichwa bure, ww kaa kimya ufanye shughuli zako. Wanawake wapo chungu nzima mkuu wengine mpaka wanajitangaza. Ingia LOVE CONNECT uone matangazo yalivyo meng mpaka wengine waakuja na gia ya kuwa wanatafuta watu wa kuchati naye
 
Duh! yaani mmekutana mnafanana, wewe humuelewi mwenzio na wewe hueleweki!!!
 
Naona sasa umejipanga kumbemenda mtoto wa mwanaume mwenzio.
 
Kwa iyo wakati Ana tumbo we ilikua Una chapa Tu haya huulizi mimba niya nani..au ulijua Ni uvimbe..ndo maana akaamua kumzawadia mtoto mwanaume anayejitambua
 
Mchumba wako anapata mimba hakwambii, huoni mabadiliko ya mwili wake hadi anajifungua hujui kama alikuwa mjamzito au kama kajifungua. Hajakwambia lolote kuhusu ujauzito wake kwa kipindi cha miezi tisa au kama kajifungua na wewe bado unamwita mchumba wako!?

Pole na kz wanajamvi, Nina mchumba wangu nmekuwa nae ktk mahusiano kpnd cha miaka mitatu sasa, chakushangaza kajifungua mtoto juzjuz, na hakuwahi kunambia kma anaujauzito wangu. Na alipojifungua hajanambia mpaka xaxa, hata cm hapokei lkn nkihesabu cku nlizokutana nae ktk tendo letu, naona ndo zenyewe! Naombeni ushauri nifanyeje nngali bado nampenda?By
Kilowoko de don.
 
Huyo mtoto ana baba wawili,anavuta muda aone anafanana na yupi ampelekee mtoto,relax,kama ni wako atamleta tu.
 
Kwa uandishi na majigambo hayo wala sion ajabu ya huyo bibie kukublast silently. Huna akili.
 
kama mtu anaweza kufikisha miezi 6-9 akajifungua hujawahi kumuona wala huelewi fia mbali huko
 
Back
Top Bottom