Huyu mchumba vipi?

ni kwa sababu hujamuana na umeishia kumlaumu(kumhukumu). kama una shaka yoyote fanya uchunguzi ujiridhishe ndo ufanye hukumu, kama ni chipsi mayai na kidali ni sawa yaweza chukua dkk 20 kuandaa + umbali toka dukani hadi zilipo
 
Huu ni utoto kabisa
 
pole sana mkuu.
Ningesema labda amepata anayemkwichikwichi vizuri ila nikiona avatar yako nikahisi wewe masai nikakumbuka kuna uzi humu nilisoma eti mmasai akikuchukulia mke ndiyo basi tena na hiyo kutokana na jinsi mnavyotahiriwa sasa wewe dah!

Nimewaza tu kama utakuwa masai mkuu kama avatar inavyojieleza.
samahani pia kwa nitakae mkwaza kwa haya.
 
nadhani hata yeye anajiuliza kama unafaa kuwa mume wake kutokana na tabia yako.
 
Kweli wanaume halisi tumebaki wachache,mada ya kipuuzi kabisa ukikua utatambua hilo unalolifanya,hivi wanaume tumekuwaje siku hizi swala dogo tu tunalikimbiza J.f ?
 
mmmhh simu tuu!! mnasafari ndefu sana!!
 
Kaka huyo hakufai kabisa kwani thamani ya ndoa ni amani ndani ya nyumba. Huyo dada hana nidhamu au utii kwa mume yoyote. Ninao uhakika ukiingia hapo utaosha vyombo, utapika, na ndugu zako watakutenga maana unatakiwa upokee command kutoka kwake tu. Kumbuka mwanamme ni kichwa hivyo ukiyumbishwa au kutopata utulivu ndani ya nyumba kutaathiri sio tu maendeleo ila na maisha yako . pia inawezekana ana tabia ya kuchepuka kwani kama hataki kupokea simu Muda huu hajaolewa je akikuzoea atakuheshimu.? Chukua hatua kabla hayajakufika makubwa kaka ndoa ndoano hiyo.
 
Maneno kuntu mkuu. Asante
 
Achana nae.. Laasivyo utaleta uzi huku jinsi ulivyoachwa na mke wako.. Later.
 
Kuna maisha mengine nje ya simu kwani sim imekuwa kama pumzi kila saa uwe nayo? Acha gubu banaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…