Huyu mchumba vipi?

Mbona tabia zako sio za kiume!!!!!!?

Huyo mwanamke ulitongozewa na nani?!
 
Sababu zingine za kugombana zinaweza kumalizwa kwa kuaminiana tu. Uaminifu ni msingi wa uhusiano.
Huanza kuaminiana kisha huja uhusiano. Kwani ungeacha text ya "Hey babe ukiwa free nicheck" ungekufa?
Ungepokea simu na kumtania "Mama ake leo utakua umejaa maana si kwa ubize huo" ungekufa?

Kumegewa kunakuita.
 

Mpendwa Yello Masai,

Pole kwa mkasa uliokupata, kwanza unatakiwa ujiulize je duka analouza mpenzi wako ni la jumla au rejareja? anauza bidhaa gani? Je anapata faida yeyote? katika hiyo siku alipata shoti au mahesabu yalikuwa sawa. Inategemea labda TRA walipita katika hilo eneo hilo, kwanini ashindwe kujibu hiyo meseji na kupokea simu kwa wakati?
Fanya huo utafiti halafu utaniambia mwenyewe.
Nakutakia siku njema.
 
Nyuzi nyingine kukomenti yataka uvumilivu wa kitanzania
 
Nimependa tu jibu la kama anafaa au hafai analog mwenyewe.ha ha ha atakoma
 
[HASHTAG]#Moyo[/HASHTAG] Sukuma damu sio vingineeee
 

Unamwaga madini siku hizi, au mi ndio naona vitu zangu?
 
Huyo ndo demu anayekufaa....sio demu unatuma text hapohapo kakujibu,hapo inakuwa hakupi changamoto...mchumba akukaushie hata wiki hapo ndo unakuwa kwenye uchumba...mchumba akupanue akili jinsi ya kum-handle...usipende nalenale dogo....easy come...easy go....binafsi napenda demu nimuhangaikie sio nimpate kirahisi....
 
Sawa mkuu. Nitayafanyia kazi haya
 
naona wengi wamenishambulia kweli kweli. Ila the issue is solved already, baada ya yeye kunipa maelezo ya kina.
 
Unaandamwa na Pepo la KUTOJIAMINI...

When she can't pick up the phone assume that she's busy
 
Da jamni Masai kaomba ushauri sasa naona maneno tu..ya kumkatisha tamaa,

Kwa ushauri wangu..kaa nae utaijua tu tabia yake
...achana na sababu ndogo Kama hizo...potezea kama unampenda kweli
 
Usipende kumfikiria mtu vibaya bila sababu... wivu ndiyo unaokusumbua, na utakachokuwa unawaza labda alienda kuchepuka... ukiwa mtu wa kuwaza vibaya utabadilisha wanawake mpaka uchoke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…