Hapa ni jumuia ya mawakili (TLS) inacheza mechi na serikali. Bahati timu ya TLS wanapata mpira wa adhabu (faulo, au wengine wanaita kama vile direct kick). Cha kushangaza washambuliaji wa timu ya TLS wamegeuka mabeki wa timu ya serikali, wamejipanga kuzuia mpira utakaopigwa na mpigaji wa TLS. Timu ya serikali imejiweka pembeni inachekelea tu, maana imepata walinzi wapya japo hawapo rasmi sababu hawajavaa jezi za timu ya serikali. mpigaji wa faulo wa timu TLS (ni Lissu huyu) amebaki anagunaguna tu.
Mchoro wa mtaalamu wangu King Kinya huyu.