Huyu mbunge wa Nkenge mzima kweli?

baada ya mgombea wa CDM kuhongwa na kujitoa kwny kinyanganyiro matokeo yake jimbo likaenda kwa huyu
Kwa hiyo mgombea makini wa CDM alihongwa? Nadhani hata waliompitisha kugombea nao ni makini kama yeye.
 
Maji marèfu ndo Mbunge ovyo kabisa yaani hajui anachochangia anaropoka tu anafikiria ubunge nikupiga Tunguli.

Umeona heee nimecheka kweli yaani hana hata referance kidogo ya kwenye bajeti zaidi ya kujisifu yeye ni maarufu.
lakini tusimseme sana atatuloga
 
Back
Top Bottom